Hiyo ndo maana nchi za kiafrika zinaitwa nchi za viongozi.Hii ndio sheria ya hovyo kabisa kwa nchi masikini zaidi duniani. Inakuwaje mtu ambaye anajilipa mamilioni ya pesa tena pasipo kutozwa kodi na anayegharamikiwa na serikali kwa kila kitu ajengewe nyumba kwa jasho la masikini ambae hata akipiga tu miayo kwa njaa anatozwa kodi tena kandamizi?
TAL wamekupa hoja nyingine. Mungu bwana hatupi mja wake. This is your leverage point. It will add to you a few votes.Hii ndio sheria ya hovyo kabisa kwa nchi masikini zaidi duniani. Inakuwaje mtu ambaye anajilipa mamilioni ya pesa tena pasipo kutozwa kodi na anayegharamikiwa na serikali kwa kila kitu ajengewe nyumba kwa jasho la masikini ambae hata akipiga tu miayo kwa njaa anatozwa kodi tena kandamizi?
Maisha yangu ndio haya sina mengine nafanya kazi nakatwa kodi ,mwisho wa siku pesa yangu ya kodi wanajengewa hawa majambazi yenye majumba ya wizi zaidi ya 20Mkuu tafuta maisha yako. Ukiwaza yao utachelewa kufanya yako
Wanajeshi walipata wapi hela?Nyumba haikujengwa na Ben bali wanajeshi walimwomba wamjengee baada ya kustaafu
Anaweza kuanzisha lakini hawezi kukamilisha. Kama kaahidi kuwa atawajengea nyumba watanzania wote, itamtokea puani. Kama ni kuanza utaratibu/programu ya kuwawezesha watanzania makazi bora ataweza kufanikiwa.LISSU ATAANZISHA UJENZI WA MAKAZI BORA KWA WATANZANIA WOTE KILA FAMILIA MOJA NA NYUMBA BORA MOJA HUU NDIO MPANGO KABAMBE WA RAIS LISSU YEYE ABAGUI BAGUI YEYE NI RAIS WA KWELI WA WANYONGE
SAWA PUNGUANI MKUBWA, CDM KAMA SIO KUTUMIA AKILI ZA KUWA WAHIFADHI FEDHA KAMPENI HIZI WANGELIFANYAJE MAANA SEREKALI IMENYIMA KABISA HELA ZA KAMPENI NA KUTOA KUDUCHU MNO KWA DHAMIRA VIFELI KWENYE KAMPENI KUMBE WENZAO WAKAWA NA AKILI KUBWA ZAIDI MPAKA WAMEKODI NA CHOPA KITU AMBACHO KINAWASHANGAZA SANA CCM "'mradi wa nyumba bora kwa watanzania wote wanyonge upo pale pale kila familia ya mtanzania na nyumba moja" ndio mkakati wa LISSU 2020-2025
Kigoma umekwenda mbali vigwaza tu hapo maji wanapishana na Ngombe na kima, kuna haja ya kuiangalia katiba yetu upya kwakweli.Suala sio kujengewa tu aina/ukubwa wa nyumba unafikirisha sana kitu kinachopelekea gharama ya nyumba kuwa kubwa kuliko idadi ya watu kwenye familia za wahusika! Halafu kuna mwananchi kule Kigoma anashuhudia haya huku akinywa Maji kwenye kisima ambacho mifugo hunywa maji pia!
Wee unaishia kupiga pambio tu wenzio pamoja nakuiibia Nchi wanajengeana majumba
Sheria hiyo imetungwa na nani kwa maslahi ya nani?
Zimejengwa kishamba sana, zimekaa kama maofisi ya kupsngisha, muundo wa Ikulu ya ChameinoSuala sio kujengewa tu aina/ukubwa wa nyumba unafikirisha sana kitu kinachopelekea gharama ya nyumba kuwa kubwa kuliko idadi ya watu kwenye familia za wahusika! Halafu kuna mwananchi kule Kigoma anashuhudia haya huku akinywa Maji kwenye kisima ambacho mifugo hunywa maji pia!
Huyo Ben yeye alizipata wapi?Wanajeshi walipata wapi hela?
LISSU ATAANZISHA UJENZI WA MAKAZI BORA KWA WATANZANIA WOTE KILA FAMILIA MOJA NA NYUMBA BORA MOJA HUU NDIO MPANGO KABAMBE WA RAIS LISSU YEYE ABAGUI BAGUI YEYE NI RAIS WA KWELI WA WANYONGE
SAWA PUNGUANI MKUBWA, CDM KAMA SIO KUTUMIA AKILI ZA KUWA WAHIFADHI FEDHA KAMPENI HIZI WANGELIFANYAJE MAANA SEREKALI IMENYIMA KABISA HELA ZA KAMPENI NA KUTOA KUDUCHU MNO KWA DHAMIRA VIFELI KWENYE KAMPENI KUMBE WENZAO WAKAWA NA AKILI KUBWA ZAIDI MPAKA WAMEKODI NA CHOPA KITU AMBACHO KINAWASHANGAZA SANA CCM "'mradi wa nyumba bora kwa watanzania wote wanyonge upo pale pale kila familia ya mtanzania na nyumba moja" ndio mkakati wa LISSU 2020-2025
Sijawahi kuona rais anaeamini katika rushwa kama Magu.1. Naomba kujua nyumba Mwalimu aliyojengewa na serikali ilijengwa lini na wapi?
2. Naomba kujua Mkapa alijengewa nyumba yake wapi?
3. Naomba kujua kwa changamoto wananchi tulizonazo Hawa wazee wakitoa sadaka hizo pesa za nyumba zikajenga japo hospital haitakubalika?
4. Hawa viongozi wanaojengewa nyumba baada yakuondoka madarakani wakiwa wazee, awali walikua wanaishi wapi?
5. Natambua ni takwa la kisheria ila najiuliza kwanini sasa? Mwinyi kastaafu muda gani?
6. Kwa marais wa Zanzibar, je huu utaratibu unawahusu?
Ushauri
Haya mafao ya nyumba za marais yafutwe, sheria itamkwe atalipwa kiasi flani (thamani ya hiyo nyumba) na Mstaafu atawajibika kuchagua eneo ambapo fedha hizo zitatumika kujenga mradi wa wananchi Kama ukumbusho.