Tujadili nyumba wanazojengewa Marais Wastaafu Tanzania

LISSU ATAANZISHA UJENZI WA MAKAZI BORA KWA WATANZANIA WOTE KILA FAMILIA MOJA NA NYUMBA BORA MOJA HUU NDIO MPANGO KABAMBE WA RAIS LISSU YEYE ABAGUI BAGUI YEYE NI RAIS WA KWELI WA WANYONGE
Dah,

Maisha yako hutakaa ulishuhudie ili.
 
Acha kujibeba ufala.

And stop saying nonsense.
 
Watazirudisha kwa walipa kodi
Tuwe wavumilivu
Kunakucha.....
 
Daah thread za viwango duni zimekuwa nyingi mno.
Badala makazi wajengewe watanzania wa kawaida
Unawajengea watu ambao washajitosheleza
Unawaongezea tena .....hii siyo haki

Ova
 
Hii ni hulka ya viongozi wote wa nchi masikini na hasa Afrika. Hujifikiria wao na kutaka kujikusanyia kila kitu.

Marais wote wanapokuwa madarakani nyumba zao hukarabatiwa kwa gharama ya serikali kwavile zinakuwa ni ''Ikulu'' wakati wowote. Hivyo, Rais Mwinyi na Kikwete wana nyumba zao.

Pili, viongozi wastaafu wanapewa asilimia 80% ya mshahara wao( Rejea mafao ya viongozi wa juu)
Wanapewa ulinzi na huduma zote kama zile walizopata wakiwa Ikulu.

Hawa si wanyonge

Nyumba wanazojengewa thamani zake ni kubwa kuliko vituo vya afya.

Lakini muhimu ni kuwatazama kama wana manufaa yoyote kwa Taifa baada ya uongozi.
Hawa kazi yao ni kupigia debe CCM na chama kingefanya taratibu za kuwahudumia si kodi za wananchi

Hawana kingine tunachoweza kujivunia kama walipa kodi. Hili ni hulka tu ya kujikusanyia na kujilimbikizia kwa gharama za wananchi. Tunahitaji vituo vya afya vya umma si nyumba binafsi

JokaKuu tindo Pascal Mayalla
 
Ni upumbavu na ufujaji wa fedha za umma. Mwinyi karibu anakufa. Kumjengea nyumba kuna maana gani! Utopolo mtupu.
 
Ni rushwa ya kuwaomba msamaha ili waokoe jahazi bora angewapa rushwa wananchi, hapo ni sawa na kununua wanaopigiwa kura badala ya wapiga kura. Watz walishafanya maamuzi atulie tu
 
Hii ni sababu moja kuu ya kuipiga chini CCM 28/10/2020. Chama cha wezi na wahuni tu.
 
Jiwe ajawahi kufanya Jambo lisilo na manufaa kwake binafsi roho hio hana kawapa rushwa ya kuwapooza wamsaidie but upepo wa wake, anavuna ulimi wake umemponza
 
Ni kweli uliyoyasema, lakini kwa nini nyumba ya raisi wa awamu ya pili imechelewa kujengwa wakati nyumba ya awamu ya tatu ilishakamilika na kukabidhiwa muhusika? Na kwa nini zinakabidhiwa sasa hivi wakati nyumba ya mheshimiwa Kikwete bado haijakamilika? Jee haya si mambo ya kampeni tu? Au mheshimiwa raisi anaona bora ayamalize kabisa huko mbele hakutabiriki?
 
Yes then kuna mijitu inawachagua pumbaf zao
 
Hata kama ni Sheria ni Sheria ya kipumbavu....leo hii Mwinyi au Jk hawana uwezo wakujenga nyumba acheni kutetea wizi ikiwa mnakamuliwa vikodi vyenu baada yakufanyia kazi za maana zinajaza matumbo yao na uzao wao nanyie mnapiga pambio tu ni UJINGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…