chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,105
kama kichwa kinavyosema wana jamvi
binafsi si mpenzi wa kitu kinachoitwa socca japo nawezachambua ....yaani kujua au ku spot kuwa timu hii imecheza vizuri au mchezaji huyu amecheza vizuri.kuna baadhi ya wachezaji ambao niliwahi kuwaona enzi za zama zao naweza kuwataja kwa majina kuwa walikuwa ni chachu ya ushindi katika timu zao.
ok jana nilikosa usingizi nikawa mbele ya tv yangu. katika ku search nikakutana na mechi za CHAN.... hizi zilikuwa Equatorial Guinea vs libya na baadaye Nigeria vs Angola i think.Yaani jinsi ya uchezaji ambao niliuona ....hapana Africa tunatakiwa kujifunza mpira aibu aibu aibu tunatakiwa kujifunza socca kwa kweli