Tujadili soka la Afrika

chinatown

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
1,232
Reaction score
1,105
kama kichwa kinavyosema wana jamvi
binafsi si mpenzi wa kitu kinachoitwa socca japo nawezachambua ....yaani kujua au ku spot kuwa timu hii imecheza vizuri au mchezaji huyu amecheza vizuri.kuna baadhi ya wachezaji ambao niliwahi kuwaona enzi za zama zao naweza kuwataja kwa majina kuwa walikuwa ni chachu ya ushindi katika timu zao.
ok jana nilikosa usingizi nikawa mbele ya tv yangu. katika ku search nikakutana na mechi za CHAN.... hizi zilikuwa Equatorial Guinea vs libya na baadaye Nigeria vs Angola i think.Yaani jinsi ya uchezaji ambao niliuona ....hapana Africa tunatakiwa kujifunza mpira aibu aibu aibu tunatakiwa kujifunza socca kwa kweli
 
Nani ashinde anaangalia huo upuuzi! Bora nishinde jf ntaambulia chochote kuliko kushinda unaangalia game za ajabu.

Wachezaji wenyewe wana afya mbovu, hawajui hata kutuliza mpira achilia mbali kudrible. Ovyo kabisa
 
sasa pia kulikuwa na marudio ya mech kati ya barca vs Betis yaani you see the differences
 
Wewe sio mpenzi wa soka, achana nayo fanya mambo mengine yenye faida zaidi kwako

Jana walicheza Rwanda vs Libya na Nigeria vs Equitorial Guinea
 
Wewe sio mpenzi wa soka, achana nayo fanya mambo mengine yenye faida zaidi kwako

Jana walicheza Rwanda vs Libya na Nigeria vs Equitorial Guinea
SAWA SAWA yes ni rwanda vs libya na equetoria guinea vs nigeria bure kabisaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…