Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Ukiongozwa una nafasi yakumweleza kiongozi njia sahihi pale unapobaini mnakwenda wrong direction. Mkiongozwa mnaridhia,mnakubaliana na kusimamia misingi ya kuongozana bila kupindisha au kuegemea upande mmoja; kuongozwa ni msingi wakusimamia haki zako.
Kutawaliwa nikuburuzwa, nikufundisha chakusema, nikufundisha kufikiri na kuzungumza sawa na mtawala, nikuunga mkono juhudi za anayekitawala, nikuruhusu kufilisika kifikra kwa ujira mdogo, nikumweka mwanadamu/mtawala mbele nakumsau mtoa pumzi. Kutawaliwa ni kuruhusu kuwa mtumwa.
Tarehe 28/10/2020 utachagua kuongozwa au kutawaliwa?