Tujadili Ubora na Mapungufu ya combination hii: CBG

Tujadili Ubora na Mapungufu ya combination hii: CBG

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
7,745
Reaction score
11,267
Mwenye CBG anaweza kusoma degree ya Nursing, Vet. Medicine,Human Nutrition,...... Wanaiita comb.ya kike,ina Biology ambayo kidogo ni ngumu kumeza...endeleza maoni wana JF.
 
tujadili kipi sasa? Jukwaa la elimu inabidi uwe na elimu
 
Combi ya kike?kwa taarifa yako kati ya kombi ngumu kumeza cbg imo mkuu,hata dv 1 zake huwaga nizakutafuta na tochi..
 
Combi ya kike?kwa taarifa yako kati ya kombi ngumu kumeza cbg imo mkuu,hata dv 1 zake huwaga nizakutafuta na tochi..

Nimekusoma mkuu,kumbe ngumu eti...mdogo wangu ameichagua hiyo,katika kuniomba ushauri nikamwambia ngoja niongee na walimu wazoefu kumbe naileta jamvini. Asante mkuu.
 
Mimi nimesoma hiyo n l love biology n geography!
 
mbona anaweza kusoma nursing pale udom kuna washkaji zangu wako pale..Geography na biology si mchezo inabidi uwe na GB kubwa kumeza..
 
sio ngumu kivile,ili mradi kichwa chake kiwe safi kwa kushika mambo
 
wapo aris universty had arctecture environmental wanasoma bt kaza but
 
Ni kati ya kozi ngumu sana kwa O'level. Kwa vile masomo yake hayaendani hata kidogo.
Kemia kivyake,biolojia kivyake na jiografia kivyake. Hivyo atahitaji msuli mkubwa kumeza kemia na biolojia (kama Magufuli vile).

Ila akiweza kuisoma,SUA ndio kutamfaa. Wildlife,environmentalsciences,forestry,soil sciences,vet, ni kati ya kozi anazoweza kusoma.
 
Ubarikiwe sana mkuu. Wazee wenye busara ukiwaomba ushauri wao ukwambia 'subiri jioni nitakwambia ufanye nini'. JF members wamenifanya niwe na busara.
 
ni kati ya combination ambazo chemistry yake haiko vizuri kila somo linajitegemea ila watu wanatoka ni malengo yake ndo yatampeleka muhimbili kusoma inveronment...au mwika kusoma wildlife management
 
ni kati ya combination ambazo chemistry yake haiko vizuri kila somo linajitegemea ila watu wanatoka ni malengo yake ndo yatampeleka muhimbili kusoma inveronment...au mwika kusoma wildlife management

Inveronment = environment.

Muhimbili hipo kozi ya environmental health. Ila ukisoma hiyo,jiandae kuitwa bwana afya.
 
Back
Top Bottom