Tujadili: utawala wa kuongeza na wilaya vs Majimbo upi ni mfumo mzuri kwa rasili mali

Tujadili: utawala wa kuongeza na wilaya vs Majimbo upi ni mfumo mzuri kwa rasili mali

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,389
Reaction score
285
Haya great thinkers nawakaribisha tujadili mada hii kwa manufaa ya kizazi na taifa lijalo lenye maadili na mfano wa kuigwa Duniani.
 
Yote hayana maana zaidi ya political advantages kwa CCM. Kiuchumi inaongeza administrative costs.

Kwa siasa na utawala wetu, hata kama jimbo au wilaya ingekuwa na watu 100,000 Bado watakumbwa na umaskini, elim bado itakuwa duni, maliasili zitauzwa nje, mikataba ya namna yoyote ile itakuwa ni ya Kimsovero-msovero hivi.

Tatizo siyo majimbo/wilaya,tatizo ni CCM and its subsequent administration. Impotent gvt
 
Majimbo ni mzuri kwa Sababu Kanda ya kaskazini itafika muda tutajitenga na kujitawala,baada ya chama chetu cdm kuitawala Tanganyika.
 
Back
Top Bottom