Yote hayana maana zaidi ya political advantages kwa CCM. Kiuchumi inaongeza administrative costs.
Kwa siasa na utawala wetu, hata kama jimbo au wilaya ingekuwa na watu 100,000 Bado watakumbwa na umaskini, elim bado itakuwa duni, maliasili zitauzwa nje, mikataba ya namna yoyote ile itakuwa ni ya Kimsovero-msovero hivi.
Tatizo siyo majimbo/wilaya,tatizo ni CCM and its subsequent administration. Impotent gvt