Pamoja na kwamba uvaaji wa Helmet ni kwa ajili ya usalama wetu, lakn natadakari sana hizi helme tunazochangia hasa sisi wateja mashuhuri wa bodaboda,
hebu tafakari'
1. Majasho tunayochangiana
2. Mba
3. Huenda aliyekutangulia ana jeraha kichwani
4...........................................
tujadilini wadau
huenda kila mteja awe na helmet lake spesheli?