MNYOO JOGOO
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 195
- 94
Kwa ufupi
- Takwimu zinaonyesha kuwa vyuo vya ualimu nchini vinahitaji wanafunzi 17,000 kwa mwaka.
- Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Philipo Mulugo anasema wanafunzi waliopata daraja la nne na pointi 27 watachaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu endapo wataomba.