Takwimu zinaonyesha kuwa vyuo vya ualimu nchini vinahitaji wanafunzi 17,000 kwa mwaka.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Philipo Mulugo anasema wanafunzi waliopata daraja la nne na pointi 27 watachaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu endapo wataomba.