baadhi ya wadau wa elimu wanadai serikali ime-introduce mfumo wa majibu ya kuchagua katika mtihani wa taifa darasa la 7 ili ipate wanafunzi wanaojiweza katika shule zake, wazipandishe chati na kuzishusha zile za binafsi. Je, una maoni yapi katika hili?
Natanguliza shukrani.
Nawasilisha.
Karibu.