Tujadiliane hapa!!!

g vizy

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2016
Posts
922
Reaction score
1,028
MADA
mkeo anarudi nyumbani kavimba vibaya!, unamuuliza anakujibu Kuwa kakutana Na vibaka wamemvamia, ila ukimcheki kila kitu chake karudi nacho, unapeleza unagundua kapigwa Na mchepuko wake unaonyeshwa mchepuko nawe unaenda straight kwa Jamaa unamuuliza anakujibu "bro Mimi yule ni mpenzi Wangu tuna Miaka miwili ila najua kama ni mkeo Na Namba zako nazijua ila nimekuta SMS za mwanaume mwingine Mimi ikaniuma nikaamua nimpige",,,,,,,je? Utadili Na Jamaa?, utamtafuta yule aliyetuma sms?, au utarudi kudili Na mkeo?,,,,,,,,,
TUJADILI...
 
Kwa stail hiyo narudi kwa mke nikafanye maamuzi
 
Unanikumbusha kwenye movie moja inaenda kwa jina la ADDICTED, mwanamke alikua anachepuka na mwanaume mwingine, kisha akaongeza tena mchepuko mwingine. Sasa siku wamekutana mchepuko wa kwanza unamwambia mwanamke "...nilifikiri unachepuka kwa mme wako tu kumbe unamchepuko mwingine zaidi yangu?"
 
Kama ni story sawa lakini kiuhalisia ni vigumu sana kutokea kitu cha namna hiyo
 
Ha ha ha hyo Kali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…