King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 353
- 523
Uandishi wa Juma AyoClub ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake.
BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3
JAYRUTY:- 56 billion
MO foundation:- Sio wazi
MO energy:- Sio wazi
MO cola:-
Pilsner:- 2 billion
MO insurance:- Sio wazi
Air Tanzania:- Sio wazi
KNAUF:- 2 billion
Sandaland:- 3billion + sports items
AZAM:-
Izo ni kampuni ambazo club ya Simba imeingia mikataba nayo lakini tujadiliane kuhusu matumizi ambayo sio wazi na vile vile usajiri na gharama za uendeshaji wa timu ikijumuisha mishahara, usafiri, usajiri na hotels zote anatoa mfadhili wao Tajiri Mo Dewji. Lakini ivi karibuni tumeskia migogoro ndani ya klabu kuwa wachezaji hawalipwi posho mara tajiri hajatoa pesa na mambo mengi ambayo yananipa maswali mengi kuwa izo pesa mabillioni toka kwa izo kampuni zinatumika wapi? 🤦🏻♂️
TUJADILIANE KWA LENGO LA KUJENGA TASNIA YA MICHEZO. View attachment 3422991
Mapato ya Simba app na mauzo ya wachezaji.Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake.
BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3
JAYRUTY:- 56 billion
MO foundation:- Sio wazi
MO energy:- Sio wazi
MO cola:-
Pilsner:- 2 billion
MO insurance:- Sio wazi
Air Tanzania:- Sio wazi
KNAUF:- 2 billion
Sandaland:- 3billion + sports items
AZAM:-
Izo ni kampuni ambazo club ya Simba imeingia mikataba nayo lakini tujadiliane kuhusu matumizi ambayo sio wazi na vile vile usajiri na gharama za uendeshaji wa timu ikijumuisha mishahara, usafiri, usajiri na hotels zote anatoa mfadhili wao Tajiri Mo Dewji. Lakini ivi karibuni tumeskia migogoro ndani ya klabu kuwa wachezaji hawalipwi posho mara tajiri hajatoa pesa na mambo mengi ambayo yananipa maswali mengi kuwa izo pesa mabillioni toka kwa izo kampuni zinatumika wapi? 🤦🏻♂️
TUJADILIANE KWA LENGO LA KUJENGA TASNIA YA MICHEZO. View attachment 3422991
Asante kwa kuongezaMapato ya Simba app na mauzo ya wachezaji.
Umewaita wenye team yao, Vizuri watupe hoja zao
Unaweza kuchangia hoja na mawazo yakoUandishi wa Juma Ayo
Wanaongeza vipi sifuri wakati TRA lazima wakate kodi zao apo kwnye transaction inamaana kama wanaongeza sifuri basi inamaana taasisi zote zimekalia kimya tuMikataba mingi ya Simba inaongezwa sifuri ndio maana katika uhalisia aitekelezeki, mfano wa karibuni ni uo mkataba wa Jai ruuty.
Mkataba ule ata ukiwa mbumbumbu wa kiwango cha mwisho kabisa unaona wazi hautekelezeki kwakua hauna iyo Return kwa mazingira ya apa Nchini.
Taarifa ziko wazi ila matumizi ndio ufichwa mwishowe kuna a lot of confusionKama taarifa zao za fedha zingekuwa wazi tungeweza kujadili Ila na hizi wamezificha.
Hapa tutakuwa tunajadili Mambo tusio na uhakika nayo
Wewe unaishi nchi hii au nje yanchi!!Wanaongeza vipi sifuri wakati TRA lazima wakate kodi zao apo kwnye transaction inamaana kama wanaongeza sifuri basi inamaana taasisi zote zimekalia kimya tu
Wengi wanajua na baadhi hawajui kwaiyo tujadiliane kulingana na kile tunachojua plus mawazo yetu juu ya hoja iyo, Yanayoendelea pale Simba kwenye suala la mikataba na migogoro yao kifedhaHatuwezi jadili sana sababu hakuna taarifa za wazi, ila kikubwa tu, yule kanjibahi anafaidika, ndio maana yupo pale msimbazi, tofauti na hapo asingekuwepo pa
Mkuu nadhani ingekuwa vema mkereketwa na mtoa ushauri wa klabu ya Makolo GENTAMYCINE akaja akaitolea majibu hii Hoja yako!
Mi ni mtanzania ila , unawezaje ongeza sifuri wakati pesa inapitia baadhi ya taasisi asa TRA. Naamini mpaka kufikia apo basi ni uhakika. Labda kama unajua vitu utufumbue mkuuWewe unaishi nchi hii au nje yanchi!!
Wachezaji hawalipwi posho hilo sio swala la wadhamini.
Na wewe pia mkuu tunahitaji mawazo yakoMkuu nadhani ingekuwa vema mkereketwa na mtoa ushauri wa klabu ya Makolo GENTAMYCINE akaja akaitolea majibu hii Hoja yako!