Tujadiliane mikataba ya Simba na migogoro ya kifedha

Wewe ni Mwanachama wa Simba? Au ni shabiki wa Simba JF? Tuwekane sawa kwanza kabla ya mjadala!
 
SIMBA NA YANGA WANA MIKATABA YA UONGO.

TAKWIMU ZIMEJAA UONGO.
WANA LAANA.
MASIKINI KABISA.
 
Wewe ni Mwanachama wa Simba? Au ni shabiki wa Simba JF? Tuwekane sawa kwanza kabla ya mjadala!
Mimi ni mdau wa michezo kwaiyo niko kwaajiri ya maendeleo na kukuza tasnia ya michezo. Tujadiliane bila kuegemea upande wala mahaba na club ili tujenge
 
Hapa= apa
Autekelezeki= hautekelezeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…