Duh, kweli mambo mengine hata formula hayana, jana nimechemsha aisee!!!
hahahahahahaha!.....:dduh, kweli mambo mengine hata formula hayana, jana nimechemsha aisee!!!
wat happened tena??? me was just crossing the days in mu calender for you.......
ukianguka uamke usiendeleeee kulala hapo chini
stand up and lets go kaka...............
Duh, kweli mambo mengine hata formula hayana, jana nimechemsha aisee!!!
Shetani huwa hachezi mbali...🙁
hii ni vita na nina imani kwamba ile ilikuwa risasi imenipunyua tu...
Niambie kamanda jana vipi ulivuka salama? 🙂

Nikweli na amina!Wakuu asalaam aleykum;
Jana katika pitapita yangu nikatua kwenye nyumba ya ibada ili kujiandaa vyema kwa ajili ya hiki kipindi cha kwaresma
wakati wote huo akili yangu ilikua fast iki-reflect jinsi maisha yanavyoenda, kazini, starehe, michezo (kidogo) na more important loved ones. Baada ya muda, (kwakweli ilifika wakati nikawa navusha hadi kupoteza kabisa ibada yenyewe); nikaona ngoja nijaribu kuweka mbili tatu ziwe agenda japo kwa siku kadhaa.
hivyo basi, naomba ndugu za ngu tuwe pamoja kwenye hili na tujitahidi (kwa wale wanaoweza) kuboresha imani na matendo japo kwa mwezi tu ili tuanze maisha matamu zaidi
- kupunguza tungi kwa zaidi ya 50% maana kwa sasa hazipiti siku mbili mtu lazma ushtue tena si kidogo
- kuwahi hom ili kujiweka vizuri na kamanda
- kuanza mazoezi ya nguvu ili kuondoa hizi love handles ambazo kwa jinzi zinavyokuwa kubwa mtu unaweza hata kuanikia combat la jeshi
- kubadili kidogo mlo ili kusafisha ini na viungo vingine
- kuepuka kabisa mazingira hatarishi yanaweza kuchochea kale kamchezo
Its all about love, au sio?
Wakuu asalaam aleykum;

Another week has passed, yes i failed twice in just over ten days... but still thankful that i have failed ten times or more
Kazi ipo mwaka huu
ni weli kabisa mkuu, ndio maana nilisisitiza neno "tujaribu"... ila asikuambie mtu, i have noted lots of positivity kwenye hili na hata nafsi inapata farajadah...pole mkuu! mi bora sijaweka maagano.....😱
ni weli kabisa mkuu, ndio maana nilisisitiza neno "tujaribu"... ila asikuambie mtu, i have noted lots of positivity kwenye hili na hata nafsi inapata faraja
nilifikia hatua ya badhika bandua mazee