Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Wazo zuri ila tatizo ni kwenye utekelezaji.Habari Tanzania !
Je, tunaweza kuwa na eneo au maeneo katikati ya Miji yalibuniwa vizuri, kupandwa na kuwekwa bustani za maua hasa kwenye haya Majiji yetu sehemu ambazo wananchi watapumzika na kuvuta hewa safi ?
Ni sehemu ipi kwa hapa Tanzania yenye hali ya hewa nzuri, joto dogo na yakuvutia iliyopandwa miti au maua?
Nawaomba Mikoa yote iliyopata neema ya kuwa Jiji waweke hii kitu kwanza inavutia, inapendezesha mji, wananchi wanapata mahala pa kupumzika wawapo katikati ya mji baada ya mizunguko kadhaa nk.
Ahsante.
haya mawazo ungemwachia raisi wenu mtarajiwa Dennis Robert Shughuru
SafiNitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...www.jamiiforums.com
Jambo jema sana maana wenye gesti na vyoo vya kulipia wanatunyanyasa.Habari Tanzania !