Baada ya kuelezwa Kuwa Kifo ni Kifoo, na hiki cha Mzee Kibao ni Kifo Tu, Kwa nini hicho kina kelele Sana.
Na tukapewa mlinganisho wa Mtoto wa Shule Kwa walioendelea kapiga risasi na kuua wenzake.
Lakini hicho hakina kelele kama cha Mzee wetu.
Sasa tutafakari mazingira ya hayo matukio na mengineyo.
1. Tuanze na Hilo la mtoto , aliye ua anaeleweka na tatizo lake Lina eleweka na hatua zimechukuliwa. Na kelele zake ni kuhusiana na na umiliki holela WA silaha huko us. Kwa Nchi zingine matatizo yanakuwa ni visu kutumia au masala ya ugaidi ambayo Yana njia zake za kukabiliana nayo, Kwa vyombo vya usalama, kufanya kazi zao.
Sasa kuna vifo ambavyo vinatokana na vyombo vya usalama au vinavyo dhaniwa WA usalama w, vinavyotegemewa kutulinda Sisi. Sasa hapo inapotokea Kifo ni vibaya raia au asasi zingine kulaani "Kifo hicho" au MTU anaposema kifo ni Kifo ni Sawa.
Tumeona hata huko US pale vyombo vya usalama wanapofanya tofauti ya matarajio, Kwa mfano US watu wamekuwa walifanya maandamano makubwa ili kuishinikiza serikali Yao kuchukua hatua ili kurekebisha Hali hiyo. Hivyo ni vizuri tukatengenisha matukio hayo na kujielekeza katika kutatua matatizo kama hayo. Na mifano hiyo unaweza kwenda mbele kwa kuangalia tukio la Daktari kufanya kinyume cha matarajio yetu au ya mgonjwa.
Mfano wa vifo vya watu weusi mikononi mwa vyombo vya usalama