Wanandoawengi wanaotoa siri za ndani ya nyumba zao kwa watu wengine ni kwa sababu ya kukosa kazi za kufanya. Binadamu ukiwa serious na maisha ya kutafuta, asilani huwezi kuhangaika kuyatoa ya ndani kuyapeleka kusiko. Utapata wapi muda huo wa kukaa na watu vijiweni? Haya mambo hutokea kwa wadada wale ambao kila juma wao ni safari za kichen pati tu.Tufanyeni kazi ndugu, tuwe bize kwa maendeleo ya familia zetu.
Pia tukumbuke kuwa mtu wa kwanza kutatua tatizo linalokukabili ni mwenzi wako wa ndoa. haijalishi hata kama ni yeye aliyesababisha, sema nae!!