Tujifunze Kukataliwa!

Kuna kipindi niliamua nisijihusishe na mapenzi niliishi kwa raha na amani sana.Sijui nini kimenirudisha ktķ makitu haya aisee natesekaaa.

Nikijiangalia na fulfill sehemu zote na mtu mwenyewe anakili but vituko,visilani n.k haviishi.

Sasa nikimwambia kila mtu ashike 50 zake hataki.

Me hata kama ni kunikataa anikatae tu nitakubali.
 
Ukishapevuka tu ukaruhusu kila jambo linaloweza kukuumiza liende basi utaishi kwa amani.

Tujifunze kushukuru ili kuleta mambo mazuri mengine mbele.
 
Hili nalo neno!🙌
 
Nashkuru kwa kunitia moyo.. nimetafakari .. nimepona sasa.. moyo wangu mweupe sitakaa kuwaza tena. Mungu akubariki kwa kukupa maono haya🙏
 
Pole Sana mkuu
 
Ukishapevuka tu ukaruhusu kila jambo linaloweza kukuumiza liende basi utaishi kwa amani.

Tujifunze kushukuru ili kuleta mambo mazuri mengine mbele.
Kweli kabisa mkuu,ni uamuzi wetu kuvuta yenye kutufurahisha au yenye kuumiza,kazi kwetu
 
Ila ina uma sana kuna mshikaj wangu yupo kwenye hard time sana now
 

Inauma ila itabidi tuzoeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…