Masahihisho kidogo: Corona haidhuru media, inadhuru hata kuuwa watu.Cotona ni ugonjwa moja wapo kati ya magonjwa mengi yanayodhuru media duniani. Penye media nyingi ndipo corona inadhuru kwa wingi maana wahusika wapo wengi...
Pengine alimaanisha kuwa tatizo la corona ni propaganda za media zaidi kuliko uhalisia ndiyo maana anasema kujiepusha nao zima TV na media zingine kama JfMasahihisho kidogo: Corona haidhuru media, inadhuru hata kuuwa watu.
Pengine alimaanisha kuwa tatizo la corona ni propaganda za media zaidi kuliko uhalisia ndiyo maana anasema kujiepusha nao zima TV na media zingine kama Jf
Uko sahihi.Pengine mtoa mada na wengine wanaoamini corona haipo wataamini siku wakiipata.
Uko sahihi.Pengine mtoa mada na wengine wanaoamini corona haipo wataamini siku wakiipata.
Ndugu yangu siyo tu kwamba hatuamini kama corona ipo bali ukweli ni kwamba. Sisi hatuwezi vurugwa na tumafua tu twa kijingajinga kama corona. Iwepo isiwepo kwetu sisi haitutikisi kamwe. Sisi nikisiki cha mpingo bwana corona tushawaachia weupe huko. Labda waunde mpya na waiongeze makali mara kumi zaidi ya hii iliyopo. Sasa wakifanya hivyo wao watabaki salama kama hii tu iliyochini mara 10 ya ile ya kututikisa sisi inawauwa wao. Ukumbuke hata wakiiongeza hiyo mara 10 hiyo itatutikisa tu. Siyo kutuua kama wao!!Uko sahihi.Pengine mtoa mada na wengine wanaoamini corona haipo wataamini siku wakiipata.
Ndugu yangu siyo tu kwamba hatuamini kama corona ipo bali ukweli ni kwamba. Sisi hatuwezi vurugwa na tumafua tu twa kijingajinga kama corona. Iwepo isiwepo kwetu sisi haitutikisi kamwe. Sisi nikisiki cha mpingo bwana corona tushawaachia weupe huko. Labda waunde mpya na waiongeze makali mara kumi zaidi ya hii iliyopo. Sasa wakifanya hivyo wao watabaki salama kama hii tu iliyochini mara 10 ya ile ya kututikisa sisi inawauwa wao. Ukumbuke hata wakiiongeza hiyo mara 10 hiyo itatutikisa tu. Siyo kutuua kama wao!!
Yaani hizo nyuzi zote hata comment za zenyewe tu zinaonyesha corona si chochote kwetuLabda mwangalie Kipepe hapo aweza kuwa ana kuhusu sana:
#COVID19 - Corona: Wasiochanjwa ni kichocheo kwa Virusi Hatari zaidi
Pia yakitukuta kama hivi tuwe tunaelewa pia:
#COVID19 - Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini
Hii ni kweli,media zinachangia sana kuleta taharuki,lakini sio kupuuzia kabisa,huu ugonjwa ni hatari na ukiingia kwenye nyumba yako ndio utajuwa kuwa tahadhari ni muhimu,its life and death,tusilete ukakamavu mbele ya kupambania uhai wako,we only live once..Pengine alimaanisha kuwa tatizo la corona ni propaganda za media zaidi kuliko uhalisia ndiyo maana anasema kujiepusha nao zima TV na media zingine kama Jf
Yaani hizo nyuzi zote hata comment za zenyewe tu zinaonyesha corona si chochote kwetu
Nyumbu gang hawavai barakoa sasa hivi