Tujifunze kwa Morocco, tunakwama wapi?

Tujifunze kwa Morocco, tunakwama wapi?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Tunakwama wapi kuweka tram toka kibaha hadi posta, toka posta hadi gongo la mboto, toka posta hadi bunju n.k?
452280491_506713215198528_4043764565262929833_n.jpg
 
Morocco Kwa miundo mbinu kuna nchi kibao za ulaya zinasubiri, Kwa usafi hapa east africa haukuna wa kuwafikia, hao wamechanganya tamaduni za mwarabu na mzungu, wanaongea kifaransa, kispain na kiarabu, hao hata wao wanasema wapo afrika kibahati mbaya
 
Tunakwama wapi kuweka tram toka kibaha hadi posta, toka posta hadi gongo la mboto, toka posta hadi bunju n.k?
View attachment 3051498
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
samia na yeye angeanzisha hii kitu, manake wenzake walianzisha SGR na mavitu mengine ambayo yeye anayazindua, yeye pia aanzishe hizi makitu kwa mikoa ya DODOMA, MWANZA NA DSM. ili aache legacy walau.
 
"Black people are not complete human beings because THEY DON'T HAVE A GOOD BRAIN to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
he was very much wrong, na yeye mwenyewe anajua kuwa alikuwa wrong.
 
heee unataka bongo ijilinganishe na Morocco???Mbona hii ni mlima na kichuguu??? Morocco wapo mbali sana karibu na nchi za First World, nyie bongolala bado mpo Third world na umeme wenu wa kuunga unga.
 
Huo ndiyo muarobaini wa tatizo la usafiri Dar. Hata mkinunua mabasi 1,000 bado tatizo litakuwa palepale
sasa sijui viongozi wetu nje huwa wanaenda kufanya nini, manake wakienda huko haya yote wanayaona, kwa garama ya hayo mashangingi ukijibana miaka 5 tu, inaweza kutosha pa kuanzia zingine unaanza kujazia taratibu. tunakwama wapi? hatuoni wivu nchi za wenzetu au tunasubiri mzungu aje atujengee? hata mradi wa BRT kama sio majaribio ya world bank kuchagua labda waanzie kwetu, hadi leo hii tungekuwa na daladala za vipanya.
 
kwanza mji ni mkubwa sana na umesambaa, kwa kawaida huko Bunju hakukupaswa kuwa Mkoa wa Dar, Dar ilipaswa kuishia pale Mkoloni alipoiacha, sehemu zote zinazoitwa “nje kidodo ya jiji” ziondolewe Mkoa wa Dar, halafu unaweza kuplan kila kitu na rasilimali kutosha kuanzia sewage system, maji ya bomba kila nyumba, umeme mpaka usafiri wa public. Bunju ni zaidi ya km 20 ktk city kwa kawaida inapaswa kuwa Mkoa mwingine and they should solve their own problems, kama Dar ingebakia ya Mkoloni kwamba Magomeni, Ilala, Temeke, Kinondoni, Mwananyamala, Msasani, Upanga na Kariakoo ingeweza kutatua au kupunguza matatizo kwa kiasi kikubwa lkn sasa kila kukicha mji mpya rasmi au usio rasmi unaanzishwa, unawezaje kudevelop mji namna hiyo? Na hiyo ifanyike tanzania yote Mikoani mji usiruhusiwe kukuwa nje ya mji aliouacha Mkoloni bila ya mpangilio …
 
wala sio rangi, ni rushwa. kama rangi sasaivi yemen wangekuwa ulaya.
ulinganyo wako hauko sahihi. sie karibu 99% ni shida. hao yemen ni sehemu tu ndogo tuseme 1/10. sie 99/100 ni majanga. hao 1 waliofanikiwa ukitazama ni mseto na wasio weusi (Mauritius, SA, Seychelles, Botsw)
kama hujaelewa nikufafanulie.
 
botswana kuna wazungu? kwahiyo tukimpa Zungu yule wa ilala, tumpe MO, au tumpe mhindi yeyote hapa bongo atuongoze, tutafika haraka?
 
Back
Top Bottom