Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Kuogopa uwekezaji wa wageni, hasa waarabu. Tabu ni Mwambukusi cmpany.Tunakwama wapi kuweka tram toka kibaha hadi posta, toka posta hadi gongo la mboto, toka posta hadi bunju n.k?
View attachment 3051498
huwezi kwenda ulaya ukakuta kitalu cha dhahabu kwenye mbuga kama ya serengeti, na rais wao akawapa waarabu wachime waondoke nayo na wewe upate kiduchu tu. madini yako, unaita mtu wa nje aje achime aondoke nayo. ni hapa bongo tu.Kuogopa uwekezaji wa wageni, hasa waarabu. Tabu ni Mwambukusi cmpany.
Ahaaaa, sijui. Ninachojua ni kuwa wenzetu wamebinafsisha karibu kila kitu. Mengine ni masharti ambayo wenyewe mnayaweka na bunge lenu. Pengine elimu ya kuchagua wabunge inahitajika.huwezi kwenda ulaya ukakuta kitalu cha dhahabu kwenye mbuga kama ya serengeti, na rais wao akawapa waarabu wachime waondoke nayo na wewe upate kiduchu tu. madini yako, unaita mtu wa nje aje achime aondoke nayo. ni hapa bongo tu.
wewe unafikiri ni sahihi kumpa mwarabu kitalu katikati ya mbuga ya serengeti akachime dhahabu? aipeleke wapi? aiweke mezani tuuze tugawane au akupe kaasilimia kadogo tu? kwani bongo hakuna wafanyabiashara wanaoweza aidha kuchimba au kuingia mkataba ya partnership na makampuni ya nje ili hela ya kutosha ibaki hapa. ila wewe unawapa waarabu, tena katikati ya mbuga. kweli?Ahaaaa, sijui. Ninachojua ni kuwa wenzetu wamebinafsisha karibu kila kitu. Mengine ni masharti ambayo wenyewe mnayaweka na bunge lenu. Pengine elimu ya kuchagua wabunge inahitajika.
KabisaNingesema ligi zetu ni burundi na Rwanda lakini nao burundi na rwanda wako ulaya kitambo, wako amerika kitambo, yaan exposure ya kidunia mrundi na mnyarwanda wamemuacha mbongo Kwa mbali sana,
Unajua Tuna deni Mwendo kasi! Tumejaribu kufanya wenyewe, patupu. Na tulifikiri kuwa m/kasi ni muarubaini wa usafiri Dar. Kivuko Kigamboni nako tumejaribu wenyewe- Ziiiii. Vyama vya ushirika n.k.wewe unafikiri ni sahihi kumpa mwarabu kitalu katikati ya mbuga ya serengeti akachime dhahabu? aipeleke wapi? aiweke mezani tuuze tugawane au akupe kaasilimia kadogo tu? kwani bongo hakuna wafanyabiashara wanaoweza aidha kuchimba au kuingia mkataba ya partnership na makampuni ya nje ili hela ya kutosha ibaki hapa. ila wewe unawapa waarabu, tena katikati ya mbuga. kweli?
we utakuwa mzanzibari, mbona hujui hata unachoongea. mimi naongelea madini yaliyopo katikati ya mbuga ambayo ukichimba unaharibu mbuga ya serengeti, bikizimkazi anataka kuchimba na kampa mwarabu achimbe aondoke nayo. unasemaje hapo?Unajua Tuna deni Mwendo kasi! Tumejaribu kufanya wenyewe, patupu. Na tulifikiri kuwa m/kasi ni muarubaini wa usafiri Dar. Kivuko Kigamboni nako tumejaribu wenyewe- Ziiiii. Vyama vya ushirika n.k.
Sema nikubaliane nawe kuwa tuwape wazawa kwa sherti tu kuwa kuwe na Time limit, kama hakuna matunda tunayoyatarajia tuwatose kwa pamoja nyie na sisi tunaoamini tofauti. Kwetu miaka 60 ya kuwahurumia wazawa inatosha!!!!!!!!