Dikteta anaona nchi ni mali yake binafsi na siyo ya wananchi
Sawa mkuu
Tuna katiba ya hovyo kabisa inayomtukuza mtu mmoja pekee
Sawa mkuu
Utoto unakusumbuaMabibi na mabwana hii clip inajieleza wazi:
Wanasema elimu ni bahari na pia elimu haina mwisho.
Katiba ni msingi mkuu wa maisha ambapo yaliyomo ni muhimu yakaridhiwa na wote kupitia sanduku la kura.
Utaratibu wa wengi wape utatuondoa hapa tulipo ambapo chuki imejengeka kutokana na wengine kujisikia kutengwa.
Ikumbukwe kuwa unapokuwa mnufaika na mfumo fyongo ni nadra kwako kuyaona mapungufu.
Walisema mwenye shibe huwa hatambui uwepo wa wenye njaa.
Yote kheri. Mema na hata mabaya, yatufikishe kwenye kuchomoa betri, kukata moto na kuanza upya kwa mustakabala mwema wa nchi hii.
Mungu ibariki Tanzania.
Ninawasilisha.
Kwanza watu wote washitakiwe awe madarakani ama la kama raia wengineKwa mujibu wa katiba yasiyokubalika na wengi yatoke na yanayokubalika yawemo.
Yeyote anayekwenda kinyume bila ya kuaangalia makunyanzi na asivumiliwe.
Kwanza watu wote washitakiwe awe madarakani ama la kama raia wengine
Ndiyo wanazidi kujiongezea kinga za kutoshitakiwa sasaSi mwanzo mbaya.
Katiba mpya yenye kuakisi matakwa ya watu wasioko madarakani inahitajika.
Itakayokuwa wazi kwa mamlaka.
Hii ya mhimili uliojichimbia zaidi ndiyo iliyotufikisha hapa.
Tusirejee tena huku kuliko tuzalishia wakimbizi.
Ndiyo wanazidi kujiongezea kinga za kutoshitakiwa sasa
Dikteta hatukubali kubadili katiba hata siku mojaKatiba inastahili kuwamo ambayo sote tunakubaliana kupitia sanduku la kura.
Kinyume chake ni katiba batili yenye kuzaa chuki kwa kiwango tunachokiona.
Hayo si maisha ambayo yeyote angependa kuyaishi.
Dikteta hatukubali kubadili katiba hata siku moja
Shida watu wengi wanahisi katiba mpya ni ajili ya Mbowe na Lissu pekeeBaina yetu hayupo wa kuwapo hapa milele.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Pia power belongs to the people.
Shida watu wengi wanahisi katiba mpya ni ajili ya Mbowe na Lissu pekee
Haya ni majanga tupuMkuu tofautisha watu na hawa akina johnthebaptist, na mamburula wenzao hapa:
View attachment 1725263