Tujifunze Samakisamaki, unakaribishwa hadi chooni

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Huwa mara nyingi sana nawaza kuandika uzi kuhusu customer service ya Samakisamaki pale Masaki ila nasahau sababu nakuaga high.

Sasa leo baada ya game ya Simba na Yanga nikawa najiwazia mambo mengi kujiliwaza baada pia ya kuhudumiwa vibaya na mhudumu sehemu nilipokua naangalia mpira.

Ndio nikakumbuka customer care ya pale samakisamaki. E bwana tusione watu wanafanikiwa kwenye biashara tukasema uchawi..watu wanajua kujipanga.

Mfano tu kwa pale samakisamaki ukienda chooni kuna mhudumu anaehakikisha pako neat muda wote, yule mwamba huwa mchangamfu sana na ukiingia unakaribishwa utasema sio chooni.

Nikiri kuwa hakuna sehemu yoyote duniani niliyowahi kuona au kuskia ukarimu wa kukaribishwa hadi chooni.

Mwamba anakukaribisha na kauli yake ya 'Weeeelcome to samakisamaki' ,halafu anamalizia na 'once at samakisamaki always at samakisamaki '.

Huyu jamaa yupo miaka mingi sana na huwa anapata tip sana just kwa uchangamfu na mbwembwe zake sababu si kawaida kukuta sehemu mtu unakaribishwa hadi chooni.

Mara nyingi mtu unaenda hata bank unahudumiwa na mtu kanuna inabidi we ndo umsalimie,napo anaringa kuitikia. Yaani anakuhudumia kama anakusaidia.

Kuna haja hata banks zetu kuwapeleka wafanyakazi wao pale samakisamaki for orientation waone aibu.

Tuwaache tu samakisamaki wauze local beers mara tano ya bei ya mtaani na panajaa hamna hata pa kukanyaga.

Nawasilisha
 
Duh hii kali, mwanamme mwenzako anakukaribisha mpaka unaenda kunya.....si ndiyo mwanzo wa kushikishwa ukuta huu huku unakula samaki chooni?
 
Back
Top Bottom