ABTWAHILAKILIMALI
Member
- Jan 10, 2015
- 78
- 27
SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BIASHARA
KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MFUMO WA BIASHARA YA MTANDAO NA UMACHINGA?
Habari ndugu msomaji wa makala zangu? Ninaa matumaini uko salama hadi muda huu, jua sio kwa ujanja wako ila ni kwa neema za Mungu, na ukae ukijua Mungu amekuacha ili ufanye kitu kama hujafanya jifikirie sasa, una nini ambacho wengine watafaidika na wewe.
Katika kuhakikisha nakufungua fikra zako, na kukuelimisha juu ya mfumo huu wa biashara leo nitajaribu kuangalia kwa ufupi uhusiano kati ya biashara ya mtandao na umachinga.
Limekuwa swali kubwa sana kwa watu wengi juu ya mfumo huu wa biashara, na baadhi yao kufanya ndivyo sivyo. Baadhi yao hubeba bidhaa kwenye mabegi na kutembeza barabarani, wengine hutumia mlango kwa mlango.
Nakumbuka mara kwanza naanza kusikia hii biashara nilikuwa nakuta watu stend ya Ubungo wanakusimamisha, unasikia kaka habari, ukiitika tu salama wanaanza nauza dawa asili hazina kemikali, sasa najiuliza huyu kajuaje kama naumwa, wengine unawakuta wanakusimamisha oooh kaka kuna biashara nzuri utapata hadi milion sasa najiuliza hivi kama unapata milion si ukampe bibi yako.
Kiukweli nilikuwa na maswali mengi sana kichwani, najiuliza hivi mimi kijana kweli nifanye biashara ya kuanza kutembea barabarani.haiwezekani.
Nilichoamua nikuanza kufatilia kuhusu mfumo huu wa biashara, kilichonishangaza zaidi, ni kumkuta mtu maarufu ambaeme najua ni billionea ameulizwa kama ukifirisika utafanya biashara gani akajibu Network marketing, huyu si mwingine ni Billget, kiukweli nilifikilia sana kweli Billget awe machinga, nikaamua kutafuta ukweli, Unajua nilichokipata?
Hakuna uhusiano wowote kati ya biashara ya mtandao na umachinga, mfumo huu wa biashara ni mfumo ambao uko tofauti sana na unaweza kufanya hata ukiwa nyumbani ndio maana wenzetu wazungu wanaiita ni home base bussines. Ni kweli kabisa kuwa biashara hii unaweza kufanya hata nyumbani kwako.
Kama unakumbuka nilikuelezea jinsi ambavyo muaisisi wa mfumo huu wa biashara, bwana Rehnborg alivyouanza, alianza kwa kushare na watu wake wa karibu, lakini pia nakumbuka jinsi nilivyoanza kufanya biashara kwenye mfumo huu sikuwahi hata siku moja kukaa barabarani kutembea na bidhaa, sijui kwanini baadhi ya kampuni zinawafundisha watu kuwa machinga kupitia mfumo huu, hupaswi kujitesa ukiwa unafanya biashara zako katika mfumo wa biashara ya mtandao.
Laiti kama watu wote wangeelewa mfumo huu maisha yasingekuwa sawa, naomba nikujuze kuwa unapofanya biaahara ya mtandao hujaambiwa kuwa machinga, na kama umefundishwa kuwa machinga wamekupotosha mfumo huu wa biashara wanafanya matajiri wakubwa na wafanyabiashara wakubwa.
Nilikuwa sijagundua jinsi gani ambavyo unaweza kufanya biashara hii ukiwa nyumbani lakini nashukuru sana Neptunus imenifanya kufanya kile ninachokifikiria, usijitese usipoteze muda wala nguvu zako biashara hii haina uhusiano na umachinga, unaweza kufanya popote lakini sio kwa staili ya kimachinga.
Mfumo huu ni mfumo wa kitaalam na ni mfumo wa biashara wa karne ya 21.mtu yeyote anaewaza mafanikio mfumo huu unAmfaa na kumuweka kwenye nafasi nyingine.
Lakini kuwa makini usikutane na zile kampuni zinazowafundisha watu kuwa machinga, chagua kampuni itakayokufikisha mbali kibiashara.
KUNA UHUSIANO GANI KATI YA BIASHARA YA MTANDAO NA DAWA ASILI?
Najua unaweza kuwa umeshawahi jiuliza swali hili, au umeshaipa jina biashara ya kuuza madawa hahahahahaa unachelewa endelea kufatilia mada inayofata takujuza kwanini dawa asili sana kwenye biashara ya mtandao?
abtwahil@gmail.com