Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
Ni Mada fupi ila tujifunze!
Katika Maisha tunahitaji marafiki zaidi, Marafiki hutupa kampani, hututuoa stress tukiwa pamoja nao, kuna msemo wa kizungu unasema "A Person who has great friends is rich in deed" kwa maana hii marafiki au kuzungukwa na watu "marafiki" ni hitaji la kila mtu duniani, hatuhitaji kujisikia wapweke
Kwa Maana hiyo ukitaka kutengeneza marafiki wengi na pia watu wengi ili kuongeza "connection" yako tumia hizi mbinu nne!
1.Kama unataka kuwa rafiki lazima uwe rafiki kwanza
2.Ukitaka watu wakuvutie lazima uvutiwe nao kwanza
3.Ukitaka watu wakuheshimu lazima uwaheshimu kwanza
4.Ukitaka watu wakupende lazima uwapende kwanza
Hii inaitwa "Aproaching people indirectly"
ALFRED