Tujifunze "The Law of indirect Effort"

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Ni Mada fupi ila tujifunze!
Katika Maisha tunahitaji marafiki zaidi, Marafiki hutupa kampani, hututuoa stress tukiwa pamoja nao, kuna msemo wa kizungu unasema "A Person who has great friends is rich in deed" kwa maana hii marafiki au kuzungukwa na watu "marafiki" ni hitaji la kila mtu duniani, hatuhitaji kujisikia wapweke

Kwa Maana hiyo ukitaka kutengeneza marafiki wengi na pia watu wengi ili kuongeza "connection" yako tumia hizi mbinu nne!

1.Kama unataka kuwa rafiki lazima uwe rafiki kwanza
2.Ukitaka watu wakuvutie lazima uvutiwe nao kwanza
3.Ukitaka watu wakuheshimu lazima uwaheshimu kwanza
4.Ukitaka watu wakupende lazima uwapende kwanza

Hii inaitwa "Aproaching people indirectly"

ALFRED
 
Kuna marafiki vilaza yani hao they are taking advantes of friendship ....wanatia hasara hao utaomba poooh,chose wisely when it comes about who is a good friend...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna marafiki viazi,yani hawa ni wale wanaojifanya washauri wakuu mpaka kwenye maswala ya ndoa especial marafiki wa kike .....kua makini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna marafiki vilaza yani hao they are taking advantes of friendship ....wanatia hasara hao utaomba poooh,chose wisely when it comes about who is a good friend...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo waswahili waliposema "Za kuambiwa Changanya na zako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…