Ahh umetukumbusha wakati yetu Mzizima...Sports day, food Bazaar, Variety Concert Diamond Jubille...Pangani House ilikuwa my house...Nilipika PCM 1994-1996..Mr Thind( Babu) alitufundihsa Mathematics, Mr Murrray Physics and Chemistry alitupigia Mr Champsi..Hiyo ilikuwa Kikosi Tishio hapo...Kila kitu ilikuwa rahisi..Nilipita shuleni mwezi wa Mei mwaka huu wakati wa likizo Bongo..Shule haadhi yake imeshuka sana..hakuna nidhamu wala nini...Mr Thind yupo London...