Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Tujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu.
Naanza ya kwangu.
Naanza ya kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na waliotongozea sifa za ubabe kwamba ye anawaliza watu wote wanaomsumbua demu..tulitongozea ndizi michembe enz hizo tunaruhusiwa kukoment?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We nae hapo umetuokota sana hebu punguza kidogo, enzi za NO ONE LIKE YOU inatamba kulikuwa hakuna simu za mkononiTujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu.
Naanza ya kwangu.
View attachment 2020769
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😂😂😂😂We nae hapo umetuokota sana hebu punguza kidogo, enzi za NO ONE LIKE YOU inatamba kulikuwa hakuna simu za mkononi
Mh....basi sawa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu pengine tumetokea mazingira tofauti, huu uzi ni kwa wale tulio zaliwa mabombe kwinama.