Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Na waliotongozea sifa za ubabe kwamba ye anawaliza watu wote wanaomsumbua demu..tulitongozea ndizi michembe enz hizo tunaruhusiwa kukoment?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
We nae hapo umetuokota sana hebu punguza kidogo, enzi za NO ONE LIKE YOU inatamba kulikuwa hakuna simu za mkononiTujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu.
Naanza ya kwangu.
View attachment 2020769
π€π€π€π€π€π€π€ππππWe nae hapo umetuokota sana hebu punguza kidogo, enzi za NO ONE LIKE YOU inatamba kulikuwa hakuna simu za mkononi
Mh....basi sawa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu pengine tumetokea mazingira tofauti, huu uzi ni kwa wale tulio zaliwa mabombe kwinama.