Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
mimi yale maswali ya mass na density nilikua nayaonea sana!d=m/vm=dv-d ni density, m ni mass na v ni volume. hahahaaaa..!! mialaw of floatation "afloating board displaces the weight of the fluid in which it float"
Mimi ndo usiseme mama kama kuna siku niliwahi kupata hata 40 kwenye hesabu skumbuki zangu ilikuwa 05 hadi 20 percent hapo nimejitahidi balaaa nimedhalilishwa sana na maticha wa hesabu kuanzia msingi hadi o level cha kushangaza biology hadi watu waliokuwa wanachukua science walikuwa wanakaa na nilikuwa nawapiga pindi na nakumbuka nilipigwa penalty kwenye matokeo ya form 4 coz niligonga F but nilifaulu manake nilipata point 20 hesabu naiogopa hadi leoNimesahau, mi nikikumbuka mambo za circles and sphere,trigonometric ratios na vyote vilivyomo humo yani hadi simulteneosly equation ulikuwa mtihani kwangu,huwa nahisi kukosa raha maana kwanza nlikuwa nikimuona mwalimu wa maths akili inasimama nakosa raha kabisa hadi natamani kuchomokea dirishani