Tujikumbushe hii picha ya Jackline Wolper ya kuhamasisha

zawadi ya kunyetukia? .......mi nimeacha huo mchezo!
 
Yule jamaa anaempenda jack akiona hapa utakua umemsaidiaa
 
Mi huwa nahisi photoshop sidhani kama walper kajazia hivo
 
Songa aliimba hivi,"Uchi mbaya,hauoni hapo umeuficha na nguo?"
Asingevaa hiyo kocho,ningegopa zaidi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mi huwa nahisi photoshop sidhani kama walper kajazia hivo

Kuna kipindi huyu demu alijazia sana,sema nyuma hana mvuto...ila hips Mashallah siunajuwa wachaga kwa hips,,,ila sasa hana nyama hata akivaa skin ashituwi,sura anayo...
Evelyn Salt wewe ni Kimbaumbau au mbantu
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi huyu demu alijazia sana,sema nyuma hana mvuto...ila hips Mashallah siunajuwa wachaga kwa hips,,,ila sasa hana nyama hata akivaa skin ashituwi,sura anayo...
Evelyn Salt wewe ni Kimbaumbau au mbantu

Sio kimbaumbau sio kibonge, mi ni wa kawaida
 
Back
Top Bottom