Tujikumbushe historia: Leo Wilbrod Slaa anataka atetewe, aonewe huruma? All in all, dhamana ni haki yake

Mbona Mahakama haikuachiwa kuamua

Uachage ututusa Wewe

Mahakama ndio ingemsafisha Mbowe lakini Hivi Sasa Mbowe ataendelea kuonekana ni GAIDI

Slaa alitumia Akili kubwa 🐼
NGOJA AKIONE CHA MOTO SASA NA UZEE ULE BLADIFAKEN ZAKE
 
CCM inatumia jela kunyamazisha watu. Pangelikuwa si pa kuogopa msingeliitumia kama sehemu ya kukomoa wapinzani
Ni Kwa sababu CCM inajua Tanzania Hakunaga Wapinzani

Mpinzani Halisi haogopi Jela Kwa sababu akiwa Jela ndio anapata Urahisi wa kufukisha Jumbe zake Nchi nzima
 
Angemtetea Mbowe wakati wa kampeni leo ungeandika vinginevyo
 
Mbowe sio gaidi, LISSU alijipiga risasi, alisikika Dr. Slaa
 
Msaliti, alisema iachiwe mahakama iamue kama MBowe ni gaidi. Leo aseme , arudie kuwa iachiwe mahakama iamue fate yake. Arudie maneno yale yale!
Kwani Kwa suala la Dr Slaa, si pia Mahakama itatoa Maamuzi ?? Au Kuna tegemeo kwamba mamlaka zingine , ndio zitatoa maamuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…