Tujikumbushe historia ya 1987 ,1988 na 1989 katika ligi ya Tanzania,msimu ambao Simba ilinusurika kushuka daraja

King Leon 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
245
Reaction score
342
Tuanze kuigusa SIMBA SPORTS CLUB ambayo ilipitia historia mbaya iliandikwa mwaka 1987, na mwaka 1988 pia mwaka 1989 kwani katika miaka hii mitatu Simba iliponea chupuchupu kuteremka Daraja kutoka Ligi daraja la kwanza ( kwasasa ni Ligi Kuu) kwenda daraja la pili.

Tuanzie mwaka 1987

Ambapo mechi ya mwisho Simba ilicheza na Tukuyu Stars ya Mbeya ambapo mpaka mwisho wa mchezo timu hizi zilifungana magoli 5-5.

Kwa matokeo hayo Simba ilishika nanafasi ya 3 kutoka mkiani ikiwa na pointi 17 sawa na Coastal Union ya Tanga na Biashara ya Mwanza,, kilichoiokoa Simba isishuke daraja ni kwamba ilikuwa na magoli 19 ya kufunga.

Katika michezo mingine ya Mwisho, timu ya Pamba wana TP Lindanda waliifunga Nyota nyekundu 1-0, Coastal Union wakaibamiza Reli ya Morogoro 5-2. Pia RTC Kigoma wakaivurumisha Biashara ya Mwanza goli 5-1
Matokeo hayo yalionekana dhahiri ni ya kupanga,, baadaye yalifutwa na Waziri wa Michezo wakati huo, Fatma Said Ally kupitia kwa Chama cha Soka Tanzania (FAT).

Nyota nyekundu ambayo ilikuwa inatakiwa ishuke daraja, haikushuka kwani ilionekana imefungwa kihalali na Pamba ya Mwanza goli 1-0, hivyo zikashushwa timu za Biashara ya Mwanza na RTC Kigoma. Mchezo mwingine wa Mwisho ulikuwa kati ya Yanga sc na Majimaji ya Songea, ambapo Yanga walishinda 1-0 goli lililofungwa na Mchezaji Abeid Mziba,, na Yanga kutwaa ubingwa mwaka 1987.

Kwanza lazima niseme tu mwaka 1989 ulikuwa mgumu kwa timu zilizoshiriki Ligi Daraja la Kwanza na hata kwa timu ya Taifa (Taifa Stars) na hata ile ya Tanzania Bara, ambayo ilishiriki kwenye michuano ya Kombe la Chalenji.

Matokeo ya ajabu zaidi yalikuwa klabu ya Simba, ambayo ilijikuta ikinusurika kuteremka daraja mwaka huo, lakini kikubwa zaidi ni kule kushangazwa na ubora wa timu ya wajenzi ya MECCO kutoka Mbeya, ambayo mwaka huo ilikuwa imepanda daraja la kwanza.

MECCO, ambayo ilikuwa inaundwa na wachezaji kama Epharaim Kayeta, Nassib Abbas, Betwell Africa, Abeid Kasabalala, Rashid Mandanje, Danford Ngesi, Charles Makwaza na wengineo, ilifanikiwa kuwabana mbavu Simba chini ya kocha Mohammed Hussein Hassan 'Msomali' ikiwa na wachezaji Moses Mkamdawire, Juma Shamte (alitokea Tukuyu), Omari Hussein 'Kakakuona' (alitokea Maji Maji), Dan Muhoja, Michael Kidilu, John Mkelele, Edward Chumila, Raphael Paul, Ramadhani Lenny, Adam Selemani (alitokea Reli), Malota Soma, Adolf Kondo, Sunday Juma, Aston Pardon, Twaha Hamidu, Iddi Selemani (alitokea Sifa United ya Manzese), Abubakar Kombo, Augustine Haule, Rashid Salum 'Killer' (alitokea Ndovu SC), Niva Mtawa, Suleiman Mathew Luwongo (alitokea kwa watani wao Yanga), Clement Kazamala, Daniel Manembe, Juma Limonga (alitokea Reli) na Ally Machella (kutoa Temeke Rangers).

Mechi ya kwanza baina ya Simba na MECCO ilifanyika jijini Dar es Salaam Februari 25, 1989 ambapo Simba ilibanwa mbavu na kuambulia suluhu mbele ya vijana hao waliokuwa wakitandaza boli kwa kiwango kikubwa.
Walau Simba ilikuwa imefuta aibu ya vigogo kuumbuliwa na timu hiyo, kwani tayari MECCO, katika mechi ya ufunguzi wa ligi hiyo iliyoanza Desemba 31, 1988, ilikuwa imeichapa Yanga bao 1-0 ambalo lilipachikwa wavuni na Ephraem Kayeta kwenye Uwanja wa Sokoine.

Hata hivyo, Simba haikujua kwamba vijana hao walikuwa imara, na walipokutana katika mechi ya marudiano Juni 24, 1989, wakachezea kichapo cha mabao 3-2! Haya yalikuwa maajabu ya mwaka na ndiyo matokeo yaliyozidi kulididimiza jahazi la Simba mpaka ikanusurika kuteremka daraja. Zilizoshuka mwaka huo ni RTC Kigoma na Kurugenzi Dodoma.

Wenzao Yanga walifanikiwa kulipa kisasi kwa MECCO baada ya kushinda mabao 2-1 katika mechi ya marudiano kwenye Uwanja wa Taifa Julai 26, 1989.

Bila kusahau mwaka huo 1989 Yanga ilisaidia Simba kutoshuka baada ya kuamua kupoteza mchezo wa mwisho .
1723883972041.jpg
 
Attachments

  • 1723883976682.jpg
    1723883976682.jpg
    188.1 KB · Views: 30
  • 1723885256214.jpg
    1723885256214.jpg
    145.3 KB · Views: 39
Ila Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kuchukua kombe la ligi kuu Tanzania,tokea Tanganyika na Tanzania iyanzishwe..tena kwa mfululizo mwaka 1965 na 1966,pia ikafika nusu final club bingwa 1974.Hizo timu masera hapo juu Simba iliamua kuwaachia tu
 
Ila umechanganya sana mambo, japo kuna ukweli.
 
Huna hoja yoyote, hauelezi Yanga iliisaidije Simba kutoshuka daraja,wala hauelezi iwapo Yanga angeshinda Simba angekuwa na points ngapi ambazo zingemfanya kuzidiwa na timu zilizoshuka daraja, Ukweli ni kwamba Simba ukichanganya na kuifunga Yanga walifikisha points 21 wakishika nafasi ya 3 kutoka mwisho wakiwazidi RTC Kagera na Kurugenzi waliokuwa na points 18 kila mmoja, iwapo Simba wangefungwa na Yanga wangekuwa na points 19 (21-2) hivyo kubaki nafasi ile ile ya 3 kutoka mwisho, usichojua ni kwamba miaka hiyo timu iliyoshinda ilikuwa inapewa points 2 na sio 3 kama siku hizi
 
Kwenye utafutaji wa maisha mwanaume hupitia mengi,kulala njaa,kukosa nauli,vocha nk.

KWa mwanaume hakisi hayo ni mambo ya kawaida.

Simba sisi ni wanaume
 
Hebu rekebisha hapo, Yanga haikuisaidia Simba kutokushuka daraja na hata ikitokea leo Simba iwe nafasi hiyo haiwezi kusaidiwa na Yanga asishuke daraja bali sema mechi ya mwisho ya kuamua Simba kushuka au kutokushuka daraja alicheza na Yanga na Simba akaamua kufa au kupona ila anataka ushindi akafanikiwa kuifunga Yanga goli 2:1 ambapo Yanga walimfukuza kipa wao wakimtuhumu kupokea rushwa kutoka Simba.
 
Naona ungeanzia nchi haijapata uhuru. Au enzi za vita ya maji maji na vita vya kwanza vya dunia
 
Ila Simba ndio timu ya kwanza Tanzania kuchukua kombe la ligi kuu Tanzania,tokea Tanganyika na Tanzania iyanzishwe..tena kwa mfululizo mwaka 1965 na 1966,pia ikafika nusu final club bingwa 1974.Hizo timu masera hapo juu Simba iliamua kuwaachia tu
Siku sijazo tutakuja na ilo katika historia
 
Huna hoja yoyote, hauelezi Yanga iliisaidije Simba kutoshuka daraja,wala hauelezi iwapo Yanga angeshinda Simba angekuwa na points ngapi ambazo zingemfanya kuzidiwa na timu zilizoshuka daraja, Ukweli ni kwamba Simba ukichanganya na kuifunga Yanga walifikisha points 21 wakishika nafasi ya 3 kutoka mwisho wakiwazidi RTC Kagera na Kurugenzi waliokuwa na points 18 kila mmoja, iwapo Simba wangefungwa na Yanga wangekuwa na points 19 (21-2) hivyo kubaki nafasi ile ile ya 3 kutoka mwisho, usichojua ni kwamba miaka hiyo timu iliyoshinda ilikuwa inapewa points 2 na sio 3 kama siku hizi
Lengo ni kugusa historia upande wa Simba na ijayo nitagusa uko .
 
Naona ungeanzia nchi haijapata uhuru. Au enzi za vita ya maji maji na vita vya kwanza vya dunia
Miaka iyo ndio kulikuwa na matukio ya kushangaza hasa kwenye ligi ,tukio la Simba kutaka kushuka daraja miaka mi3 mfururizo sio dogo 😂
 
Hebu rekebisha hapo, Yanga haikuisaidia Simba kutokushuka daraja na hata ikitokea leo Simba iwe nafasi hiyo haiwezi kusaidiwa na Yanga asishuke daraja bali sema mechi ya mwisho ya kuamua Simba kushuka au kutokushuka daraja alicheza na Yanga na Simba akaamua kufa au kupona ila anataka ushindi akafanikiwa kuifunga Yanga goli 2:1 ambapo Yanga walimfukuza kipa wao wakimtuhumu kupokea rushwa kutoka Simba.
Ulizia wazee waliokaribu yako apo mtaani kwenu
 
Ndugu yangu umenikumbusha mbali kuhusu hiyo Mecco ya Mbeya kwa mara ya kwanza Mapacha wa Kariakoo waliungana kuiomba FAT(TFF)iwapime eti wachezaji wao wanatumia Dawa za kuongeza nguvu
 
Ukweli Mecco ilikuwa inatembea mikoa yote na Roli,mpira ukiisha wao ndio kwanza wanapasha,Kuna mechi moja na Pamba David Mwakalebela sio wa TFF aliomba kutoka pumzi ilikata akaambiwa aendelee
 
Lengo ni kugusa historia upande wa Simba na ijayo nitagusa uko .
Mie nataka ufafanue ni vipi Yanga aliisaidia Simba kukwepa kushuka daraja, yaani iwapo Yanga angeshinda mechi ya mwisho dhidi yao, Simba wangeshukaje daraja kwa points 19 walizokusanya ukiondoa points 2 za mechi ya Yanga?
 
Back
Top Bottom