Tujikumbushe historia ya Bakwata Oktoba hadi Desemba 1968 (Sehemu ya 4)

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU.

Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa.

BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa Katibu Msaidizi.

Nafasi zote za juu katika BAKWATA kama ilivyotegemewa zilichukuliwa na kundi la Adam Nasibu, kundi ambalo toka mwanzo lilikuwa likidai kuvunjwa kwa EAMWS.

Uongozi wa BAKWATA uliomba serikali itambue jumuiya hiyo mara moja na ipige marufuku EAMWS kama jumuiya isiyo halali na mali zake zizuiwe.

BAKWATA ilitoa maazimio kadhaa lakini azimio namba nne ndilo hasa linafaa kuelezwa.

Azimio hilo liliomba serikali, TANU na ASP kuwatazama na kufanya uchunguzi wa kina kwa viongozi wote wa EAMWS, hasa Rais (Tewa Said Tewa), na Makamo wa Rais (Bibi Titi Mohamed), Katibu wao (Aziz Khaki) na baadhi ya viongozi wa mikoa na wilaya ambao wana chuki na hii jumuiya mpya.

Uongozi wa BAKWATA katika ushindi wao hawakutaka salama na mawaelewano na Waislam wenzao katika EAMWS wala kuwaonea huruma kama Uislam unavyofundisha, bali ulitaka chama na serikali uwaandame, hasa wale waliokuwa viongozi.

Baada ya kuundwa BAKWATA, ili kuondoa wasiwasi na kuwarudishia imani Waislam, Katibu wa Tume ya Waislam, Mussa Kwikima alitoa taarifa iliyosema:

‘’Hakuna anaeweza kutishia kuwepo kwa EAMWS isipokuwa wanachama wake, sheria na serikali, lakini si watu binafsi hata ikiwa mikoa yote kumi na saba ikijitoa haitamaananisha kuwa jumiya imekufa kwa kuwa kuwepo kwake hakutokani na kuwepo kwa mikoa hiyo kama wanachama isipokuwa kuwepo kwa wanachama wake, Waislam.’’

Wakati ilipotoka taarifa hii BAKWATA ilikuwa bado haijaandikishwa rasmi na Msajili wa Vyama.

Kisheria ilikuwa haiwezekani kwa kundi la Adam Nasibu kuunda jumiya mpya iliyokuwa na malengo sawa na jumuiya ambayo tayari ishaandikishwa.

Kwa muda wa siku tatu BAKWATA na EAMWS zikawepo kwa wakati mmoja.

Ilionekana kama kwamba EAMWS itashinda vitimbi vya serikali na vya kundi la Adam Nasibu.

Tarehe 19 Desemba, 1968 serikali kama vile imegutushwa na taarifa ya Kwikima, iliipa BAKWATA Cerificate of Exemption na kuifungia EAMWS.

Waziri wa Mambo ya Ndani Said Ali Maswanya kwa niaba ya serikali alitoa taarifa fupi:

‘’Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kuamriwa na Rais anatangaza kuwa tawi la Tanzania la East African Muslim Welfare Society na Baraza la Tanzania la East African Muslim Welfare Society ni jumuiya zisizotambulika kisheria chini ya kifungu 6 (i) cha Sheria ya Vyama.’’

Kwa tangazo hilo la Rais wa Tanzania, Julius Nyerere, Waislam walinyimwa nafasi ya kukutana na kuzungumza kuhusu tatizo ambalo kwa kweli liliwahisu Waislam peke yao.

Kwa ajili hii basi Waislam walinyimwa nafasi ya kujadili na kulitolea uamuzi tatizo hilo.

Viongozi wa EAMWS waliitwa mbele ya Kabidhi Wasii ambae ndiye alikuwa amekabidhiwa na serikali jukumu la kusimamia shughuli za kufunga rasmi shughuli za EAMWS.

Viongozi walifahamishwa kuwa chini ya sheria ya vyama mali zote za EAMWS zitauzwa na madeni yatalipwa kutokana na fedha hizo na fedha zitakazobaki watapewa wanachama.

Serikali ilikuwa haiwezi kufanya kama sheria ilivyokuwa imeelekeza. Ilikuwa jambo zito sana kwa serikali ya Nyerere kuonekana anasimamia kuuzwa kwa mali za Waislam.

Viongozi wa EAMWS walipoitwa kwa Kabidhi Wasii mara ya pili walifahamishwa kuwa serikali imebadilisha mawazo yake kutekeleza amri kama sheria inavyosema kwa ajili hiyo basi imefanya mabadiliko ya sheria ya vyama ambayo yanaiwezesha sasa kutoa mali ya EAMWS na kukabidhi BAKWATA.

Hivi ndivyo mali za EAMWS zilivyochukuliwa na kupewa BAKWATA bila ya ridhaa ya Waislam wenyewe.

Hivi ndivyo shule zote zilizojengwa na EAMWS pamoja na mradi wa Chuo Kikuu cha Kiislam kilipoanguka katika mikono ya kundi la Adam Nasibu.

BAKWATA haikuwa na uwezo wa kuendesha mipango yoyote na taratibu shule na miradi yote ya elimu ikafifia na mwishowe kufa kabisa. Hivi ndivyo halikadhalika moto wa Waislam uliowashwa kwa kupatikana kwa uhuru waliopigania hadi ukapatikana ulivyokufa.

Moto huu ulikuja ukawaka tena, lakini hiki ni kisa kingine.

Insha Allah Mwenyezi Mungu akipenda tutakuja kukieleza.

Huu ndiyo ukawa mwisho wa kile kilichokuwa kikijulikana kama ‘’mgogoro’’ wa Waislam ulivyomalizika.

Siku ile ile ofisi ya EAMWS Dar-es-Salaam ikavamiwa na jeshi la polisi milango ikapigwa minyororo na askari wakaweka ulinzi mkali.

(Kutoka kitabu cha Abdul Sykes 1998)

1703045383025.jpeg
 
Sijasoma ujumbe wako, ila la kwanza nikiona bakwata tu.. Najua ni kikundi cha wahuni wenye elimu ya dini ya kiislam.
Ni watu ambao wanajua hii si sawa ila watafumbia macho sababu ya matumbo yao.
 
Sijajua kama saleh masas ndio huyo au mweingine.wakat fulan miaka ya 2011 tuliwah kwenda kwa alhajnsaleh masas upanga nilimkuta akiwa kwenye wheelchair na kuongea kwake kwa tabu mzee masas.
 
Mzee wa chokochoko za kidoni kwenye ubora wako. Wewe na amani ni ni maji naafuta.

Karibu Bakwata kwa Waislamu wanaojielewa
 
Huihui...
Ningeandika chokochoko nisingeshirikishwa katika kuandika Dictionary of African Biography (2011) mradi wa Harvard na Oxford University Press, New York wala katika uandishi wa Nyerere Biography (2020).

Ndani ya hili kamusi kuna historia ya Kleist Sykes na wanae.

1731794246066.png

1731794319042.jpeg

Nikihojiwa na Safina Yasin wa TBC 1 kuhusu maisha ya Julius Nyerere alipofika Dar es Salaam na kupokelewa na Abdul Sykes 1952

Sijasoma ujumbe wako, ila la kwanza nikiona bakwata tu.. Najua ni kikundi cha wahuni wenye elimu ya dini ya kiislam.
Ni watu ambao wanajua hii si sawa ila watafumbia macho sababu ya matumbo yao.
Hapana napinga hoja zako butu.
BAKWATA ni taasisi imara,makini & thabiti.
 
Huihui...
Ningeandika chokochoko nisingeshirikishwa katika kuandika Dictionary of African Biography (2011) mradi wa Harvard na Oxford University Press, New York wala katika uandishi wa Nyerere Biography (2020).

Ndani ya hili kamusi kuna historia ya Kleist Sykes na wanae.

View attachment 3154066
View attachment 3154067
Nikihojiwa na Safina Yasin wa TBC 1 kuhusu maisha ya Julius Nyerere alipofika Dar es Salaam na kupokelewa na Abdul Sykes 1952

Unaona ulivyo na matatizo. Unakiri mwenyewe kuwa Oxford University Press wamekuita kuandika biography ya Nyerere, lakini ulivyo mdini na chuki na Nyerere ukaishia kuandika historia ya Sykes na wanae.
 
Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU.

Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa.

BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa Katibu Msaidizi.

Nafasi zote za juu katika BAKWATA kama ilivyotegemewa zilichukuliwa na kundi la Adam Nasibu, kundi ambalo toka mwanzo lilikuwa likidai kuvunjwa kwa EAMWS.

Uongozi wa BAKWATA uliomba serikali itambue jumuiya hiyo mara moja na ipige marufuku EAMWS kama jumuiya isiyo halali na mali zake zizuiwe.

BAKWATA ilitoa maazimio kadhaa lakini azimio namba nne ndilo hasa linafaa kuelezwa.

Azimio hilo liliomba serikali, TANU na ASP kuwatazama na kufanya uchunguzi wa kina kwa viongozi wote wa EAMWS, hasa Rais (Tewa Said Tewa), na Makamo wa Rais (Bibi Titi Mohamed), Katibu wao (Aziz Khaki) na baadhi ya viongozi wa mikoa na wilaya ambao wana chuki na hii jumuiya mpya.

Uongozi wa BAKWATA katika ushindi wao hawakutaka salama na mawaelewano na Waislam wenzao katika EAMWS wala kuwaonea huruma kama Uislam unavyofundisha, bali ulitaka chama na serikali uwaandame, hasa wale waliokuwa viongozi.

Baada ya kuundwa BAKWATA, ili kuondoa wasiwasi na kuwarudishia imani Waislam, Katibu wa Tume ya Waislam, Mussa Kwikima alitoa taarifa iliyosema:

‘’Hakuna anaeweza kutishia kuwepo kwa EAMWS isipokuwa wanachama wake, sheria na serikali, lakini si watu binafsi hata ikiwa mikoa yote kumi na saba ikijitoa haitamaananisha kuwa jumiya imekufa kwa kuwa kuwepo kwake hakutokani na kuwepo kwa mikoa hiyo kama wanachama isipokuwa kuwepo kwa wanachama wake, Waislam.’’

Wakati ilipotoka taarifa hii BAKWATA ilikuwa bado haijaandikishwa rasmi na Msajili wa Vyama.

Kisheria ilikuwa haiwezekani kwa kundi la Adam Nasibu kuunda jumiya mpya iliyokuwa na malengo sawa na jumuiya ambayo tayari ishaandikishwa.

Kwa muda wa siku tatu BAKWATA na EAMWS zikawepo kwa wakati mmoja.

Ilionekana kama kwamba EAMWS itashinda vitimbi vya serikali na vya kundi la Adam Nasibu.

Tarehe 19 Desemba, 1968 serikali kama vile imegutushwa na taarifa ya Kwikima, iliipa BAKWATA Cerificate of Exemption na kuifungia EAMWS.

Waziri wa Mambo ya Ndani Said Ali Maswanya kwa niaba ya serikali alitoa taarifa fupi:

‘’Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kuamriwa na Rais anatangaza kuwa tawi la Tanzania la East African Muslim Welfare Society na Baraza la Tanzania la East African Muslim Welfare Society ni jumuiya zisizotambulika kisheria chini ya kifungu 6 (i) cha Sheria ya Vyama.’’

Kwa tangazo hilo la Rais wa Tanzania, Julius Nyerere, Waislam walinyimwa nafasi ya kukutana na kuzungumza kuhusu tatizo ambalo kwa kweli liliwahisu Waislam peke yao.

Kwa ajili hii basi Waislam walinyimwa nafasi ya kujadili na kulitolea uamuzi tatizo hilo.

Viongozi wa EAMWS waliitwa mbele ya Kabidhi Wasii ambae ndiye alikuwa amekabidhiwa na serikali jukumu la kusimamia shughuli za kufunga rasmi shughuli za EAMWS.

Viongozi walifahamishwa kuwa chini ya sheria ya vyama mali zote za EAMWS zitauzwa na madeni yatalipwa kutokana na fedha hizo na fedha zitakazobaki watapewa wanachama.

Serikali ilikuwa haiwezi kufanya kama sheria ilivyokuwa imeelekeza. Ilikuwa jambo zito sana kwa serikali ya Nyerere kuonekana anasimamia kuuzwa kwa mali za Waislam.

Viongozi wa EAMWS walipoitwa kwa Kabidhi Wasii mara ya pili walifahamishwa kuwa serikali imebadilisha mawazo yake kutekeleza amri kama sheria inavyosema kwa ajili hiyo basi imefanya mabadiliko ya sheria ya vyama ambayo yanaiwezesha sasa kutoa mali ya EAMWS na kukabidhi BAKWATA.

Hivi ndivyo mali za EAMWS zilivyochukuliwa na kupewa BAKWATA bila ya ridhaa ya Waislam wenyewe.

Hivi ndivyo shule zote zilizojengwa na EAMWS pamoja na mradi wa Chuo Kikuu cha Kiislam kilipoanguka katika mikono ya kundi la Adam Nasibu.

BAKWATA haikuwa na uwezo wa kuendesha mipango yoyote na taratibu shule na miradi yote ya elimu ikafifia na mwishowe kufa kabisa. Hivi ndivyo halikadhalika moto wa Waislam uliowashwa kwa kupatikana kwa uhuru waliopigania hadi ukapatikana ulivyokufa.

Moto huu ulikuja ukawaka tena, lakini hiki ni kisa kingine.

Insha Allah Mwenyezi Mungu akipenda tutakuja kukieleza.

Huu ndiyo ukawa mwisho wa kile kilichokuwa kikijulikana kama ‘’mgogoro’’ wa Waislam ulivyomalizika.

Siku ile ile ofisi ya EAMWS Dar-es-Salaam ikavamiwa na jeshi la polisi milango ikapigwa minyororo na askari wakaweka ulinzi mkali.

(Kutoka kitabu cha Abdul Sykes 1998)

Kutoka katika kitabu ambacho umeandika wewe!
 
Kwanini huu mjadala umekuwa mkubwa sana kipindi hiki?
Je nini dhima ya mijadala hii?
Je mijadala hii na ile ya uamsho inatofauti gani?
Je tunajuwa mwisho wake utakuwaje?
 
Unaona ulivyo na matatizo. Unakiri mwenyewe kuwa Oxford University Press wamekuita kuandika biography ya Nyerere, lakini ulivyo mdini na chuki na Nyerere ukaishia kuandika historia ya Sykes na wanae.
Huihui2,
Oxford University Press hawajaniomba kuandika biography ya Nyerere.

Wapi umepata habari hii?
 
Hii hapa uliandika mwenyewe:-
View attachment 3154868
Huihui,
Hebu soma hayo hapo juu kisha soma haya ya hapo chini utaona tofauti:
Unaona ulivyo na matatizo. Unakiri mwenyewe kuwa Oxford University Press wamekuita kuandika biography ya Nyerere, lakini ulivyo mdini na chuki na Nyerere ukaishia kuandika historia ya Sykes na wanae.

Wapo nimesema niliombwa kuandika kitabu cha Nyerere?

1731874900454.png

Katika kitabu cha Nyerere waandishi wamefanya rejea nyingi kutoka kwangu.

Hao hapo chini walifika nyumbani kwangu mara tatu kunihoji:

Sasa vipi nikatae kuandika kitabu cha Nyerere na wakati huo huo ndani ya kitabu niwepo?

1731875068896.jpeg

Kulia Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Othman Yahya na Dr. Ng'wanza Kamata 2013​

Nakuongezea kitu kingine.

Nilihariri kitabu cha picha cha Nyerere kilichotayarishwa na Jim Bailey wa jarida la DRUM na halikadhalika nikatafuta ''publisher'' wa kucha kitabu hicho.

Nakuwekea hapo chini mswada wa kitabu hicho na kitabu chenyewe baada ya kuchapwa.

1731875632532.jpeg

1731875679681.jpeg

Back
Top Bottom