Efendi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 314
- 438
Mashabiki wa soka tujikumbushe kitu kimoja nikiangalia mpira wa bongo hususani hawa mabingwa wa Tanzania bara inafika takribani misimu mitano haijapigiwa penalti langoni mwake.
Je ina maana walinzi wake hawafanyi makosa ukiangalia ulaya PSG, Barca, Madrid penalti zinapigwa langoni mwake hebu tuchangieni wadau povu ruksa
Je ina maana walinzi wake hawafanyi makosa ukiangalia ulaya PSG, Barca, Madrid penalti zinapigwa langoni mwake hebu tuchangieni wadau povu ruksa