Tujikumbushe hivi inafika misimu mingapi Yanga haijapigiwa penati langoni kwake

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
Mashabiki wa soka tujikumbushe kitu kimoja nikiangalia mpira wa bongo hususani hawa mabingwa wa Tanzania bara inafika takribani misimu mitano haijapigiwa penalti langoni mwake.

Je ina maana walinzi wake hawafanyi makosa ukiangalia ulaya PSG, Barca, Madrid penalti zinapigwa langoni mwake hebu tuchangieni wadau povu ruksa
 
Nyie Mezani/FIFA FC pambaneni na hali yenu.
 
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34] inakuaje mtoto wa kiume unakuwa mmbeammbea hivi?sasa unataka iweje?tupigiwe penalty ili tushuke daraja?
Afu unajiita Mavugo, we ni mwanae au mkewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usikarike kama wewe ni wamatopeni
 
Naona watu wamekuwa wakali kwelikweli.

Ukiacha povu, mtu anajaribu kuvuta kumbukumbu Kichuya anampiga kanzu mtu mzima, jamaa anaamua kugeuka golikipa anapangua kwa mikono kisha refa anapeta anasema mpira uendelee....loh.... kweli kuna timu zina bahati
 
Hao zimbaaaa wao wamepigiwa lini hizo pernat?
 
Simba msimu huu washahukumiwa kwa adhabu ya penalti game na stand united
 
Hebu pambaneni walau mpate kutoa nuksi
Huko jangwani kombe washalichoka sasa kila mwaka wao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…