Tujikumbushe: Huyu Bwana namkubali sana

Tujikumbushe: Huyu Bwana namkubali sana

Pinda sio mtu mbaya kama wengi wanavyodhani kwanza ni mnyenyekevu sana pamoja na kuwa ni jasusi kamili lililokubuhu hata membe hatii mguu
 
Mzee Pinda hakuwa fake... hakubembeleza (SSH) asingeweza kufanya nae kazi. Nawaza kwa style hii, hii combination ingekutana na JPM tungeelewana sana.

Ila kwa wakati wake ilikuwa lazima awepo mmoja wa aina yake wakati ule mkwele ilikuwa ni kupishana Airport na kuchekacheka tu hata kwenye mambo ya msingi. Watu wa Pwani huwa ni changamoto sana kupata matokeo makubwa kwa haraka. Full kubembelezana.

Wakati ule Mtwara hapakukalika watu wanaleta mgomo kwenye ujenzi wa bomba la gesi... walikula kichapa cha mbwa mwizi wakatulia wangechekewa kazi isinge isha.
 
Hebu nyoosha mistari maana hapo hakuna kitu
 
Aliyepo ni balaa tupu hakuna kitu anafanya
 
Wakati ule JPM alimpush sana kukimbizana kila kona walau tulimuona... siku hizi bi tozo yuko busy kumnanga JPM kwa uoga wake ambao anataka wote tuushiriki... anasahau hata kuna waziri mkuu.
Wapitie upya vigezo vya kumpata huyu mtu
 
Back
Top Bottom