Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,710 Reaction score 76,243 Jul 4, 2021 #41 Red Giant said: Hii ni racism Click to expand... Ndio, asili ya jaji Warioba ni Mtanzania. Mzaliwa wa Bunda, nimetaka kujua asili ya Shivji maana jina linaakisi ni mwenye asili ya India, Je ni Mtanzania mzawa au mhamiaji.
Red Giant said: Hii ni racism Click to expand... Ndio, asili ya jaji Warioba ni Mtanzania. Mzaliwa wa Bunda, nimetaka kujua asili ya Shivji maana jina linaakisi ni mwenye asili ya India, Je ni Mtanzania mzawa au mhamiaji.