Tujikumbushe: Jasusi mkubwa duniani (Marekani)

......Hongera sana kwa Intelijensia ya Marekani, sisi tubakie na Intelijensia yetu ya kung'oa watu kucha na meno.
 
Amini msiamini,Snowden Ni kibaraka WA Marekani,anachofanya kukivujisha,Ni tone ndani ya bahari
 
Amini msiamini,Snowden Ni kibaraka WA Marekani,anachofanya kukivujisha,Ni tone ndani ya bahari

Dahh.....
Hadi nimepata msisismko.
Enheee...... lete mane mkuu, au kama hakuna ubaya funguka wapi nizipate hizo maneno mayenga
 
Last edited by a moderator:
Dahh.....
Hadi nimepata msisismko.
Enheee...... lete mane mkuu, au kama hakuna ubaya funguka wapi nizipate hizo maneno mayenga

Hata mimi nilipata wasiwasi sana na huyu jamaa.

Marekani ni zaidi ya uajuavyo,eti avujishe siri kwa kipi alichonyimwa markani ambacho atapewa akiwa russia.
 
Last edited by a moderator:
Juzi Warusi wamefanikiwa kufanya udukuzi kwenye email za siri za Obama
 
Marekani ni washenzi Sana..

Kuna movie series Inaitwa "PERSON OF INTEREST"
Kama ushawai kuicheki utaona hiki kitu, coz kuna jamaa alitengeza Surveillance Machine amabyo ina kusanya audios, video, picha, na ilikuwa na uwezo wa kudetect ishu yeyote ambyo sio salama like drug, terrorism and the like...

jamaa anakambia " the machine sees everybody.. "
 

thanx for your hot news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…