TUJIKUMBUSHE: JK Amsambaratisha Magufuli

Mwenyewe anapenda kumuita "Mzee kikwete"
 
Wacha wasomeshwe tu namba. Si waliamini alipojisifia eti ni Rais wa wanyonge!
 
Wapinzani bana,,!!,si mvumilie tu jamaa,amalize mda wake?,
Vijembe wala hata havisaidii,na mkituudhi,tunamuongezea miaka 30 mbele,,😁😁,au mnabisha..?
 
Ndio hapo utajua Siasa ni Sarakasi tu....

Au wale wanyonge anaowatetea sasa kipindi kile hawakuwa wanyonge...
Mfumo wa wale ili uwatawale unatumika sana kwa baadhi ya nchi za kiafrika
 
Technology is not a good friend sometimes..
Mtoa Mada nikukute oysterbay police [emoji61].
 
JK kilichomponza ni kuwa na ubinadamu mwingi matokeo yake akaonekana kama mtu wa kuchekacheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…