Tujikumbushe katuni hii ya Kipanya

Tujikumbushe katuni hii ya Kipanya

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Nimeitazama hii picha nikapata maana tofauti.

Naomba mwenye uelewa saana na habari picha watulekeze nini ujumbe upo ndani.

Screenshot_20230330-072337_Instagram.jpg
 
 
Hii nchi haina kiongozi, na ajabu zaidi ni pale unapoona wadhaifu kama yeye nao wakisema wana ndoto za kwenda ikulu, tumegeuzwa kama makatuni wakufanyiwa majaribio na kila mjinga.
Hapa hutakiwi kumlaumu aliyepo leo madarakani bali tulaumu mifumo ya utawala wetu kama nchi mzima
 
Mnateswa sana na li ccm lenu mpk kulitetea mnashindwa na kuliacha mnashindwa , chawa bhana [emoji1787]
Ujue hapo kuna makundi mawili ndani ya li cccm lao.
1.sukuma gang ccm.

Mkhojani ccm
 
Back
Top Bottom