Tujikumbushe kidogo

Tujikumbushe kidogo

Je, una mume au mke, girlfriend ama boyfriend?

Unakumbuka mistari (uliyotumia/ aliyotumia) mwenzio kukuingiza kwenye kumi na nane?

Please share It with us
Mm nilianza na hii
IMG-20191002-WA0023_1571385203964.jpeg
 
Kwanza hio umenikumbusha niliwahi andikiwa barua na mwanadunzi mwenzangu bahati mbaya nikaidondosha mbele ya mwalim ,vuta picha uitwe mbele ya wanafunzi wenzio hatari sana mkuu
 
Back
Top Bottom