Tujikumbushe kidogo

Mambo ya wahenga siku hizi mambo yamekuwa rahisi sana
 
Kwanza hio umenikumbusha niliwahi andikiwa barua na mwanadunzi mwenzangu bahati mbaya nikaidondosha mbele ya mwalim ,vuta picha uitwe mbele ya wanafunzi wenzio hatari sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…