hilo ni jina alilopewa philosopher wa kijeruman amabaye aliishi miaka ya 1724 mpaka 1804. Jamaa huyu aliamini kuwamatendo ya watu yanaongozwa na moral laws amabazo hufanana katika jamii. Jamaa pia alienda mbali zaidi na kusema maneno yafuatayo "in order to apply irretional human being must be given power to reason!! Kwa anaye kumbuka zaidi taarifa za huyu philosopher please anaweza akaongezea. Karibun!!!!