Tujikumbushe kumbukizi ya kifo cha Alphonce Mawazo wa CHADEMA

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Hakika siku hii kila mtu aliyekuwepo sehemu hii alitokwa na machozi.

Mtoto wa marehemu alisoma kilichoandikwa kwenye karatasi na watu kutokwa na mchozi kwa unyama alifanyiwa baba yake.

Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote. Mith 14:34.
~Hizi damu za watu zinazomwagika kila uchao, yamkini ni laana ya damu zilizomwagika bila huruma zikidai kisasi. Ona majanga kila kona, taifa hili linapita kipindi kigumu sana ni Mungu tu atusaidie na kuturehemu.
 
Wakituziba midomo kuongea basi hata mawe yataongea juu ya huu unyama
 
Back
Top Bottom