Vitendo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2009
- 582
- 103
MAAFA YA KIDATO CHA NNE 2010
DARAJA WANAFUNZI
I 5363
II 9942
III 25083
IV 136,633
0 174,193
hivyo ndiyo hali halisi ya jinsi ya matokeo ya kidato cha nne mwaka 2010,
Ila hayo ndo maafa yaliyotukumba Tanzania kama Taifa,maana huu ni msiba wa kitaifa na ni janga kwa
Nchi yetu kutoa 0(division Zero) 174,193 ndani ya mwaka mmoja.
Wadau wanao husika na sekta hii muhimu wito kwenu tufanye kazi kwa bidii kuonoda aibu hii.
Napenda kuwasilisha.