Tujikumbushe maisha ya chuo wadau

ndonger

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2018
Posts
894
Reaction score
1,635
Mi mkongwe sana humu jf ila ndo hvyo,mambo ya ID tena okay iko hiv

Mi nilisoma hapo udsm, miaka hyo ya 2009-13

Aisee ni moja ya vijana tuliopata matokeo mazur 6,sio TO lakin.
Ila ni kijana niliotoka na GPA ndogo kinoma ila sio kesi...

Siko bongo mwaka wa 4+ huu..niko ughaibun..

Ni hiv..mim ni moja ya walioenda chuo kukua na sio kusoma..ingawa ni genius najijua ila nilichoka u john kisomo..toka primary mi ni GradeA student.

Enewei

Nmekula bata sana chuo wadau..saaana.

Niliishi main campus first year, moja ya yale ma hall maref (4 /5) stak sema lip wadau watacrack bure.

Then nkaenda bibo, then nkakaa uswaz from 3rd yr to 4th yr..pika pakua na demu wangu aisee.

Hakuna kijiwe cha kitimoto tusichokijua, halaf ilikua couple maaruf chuo pale kuanzia chocho za survey. Changanyiken, bibo, mwenge, sinza meeda kule, ambienga, kuku wa ambiance ile ya enz zile si mchezo.

Kiufup yule dem nilikua kama nimeoa (ni X sasa kaolewa ila ukiona chat zetu had leo unaweza pata heart attack kama ni mumewake) anyway Ma X huwa hiv sometime.(Off point)

Club sasa
1. Savanah, moja iko posta nyingne iko quality centre.

2. Maisha club
3. Bills
4. Sansiro kamanyola pale sinza si mchezo.
5. Suncity, nadhan kigambon ile,.wet n wild, kiota, koko, beach mavi za mikochen zile na msasani,kawe beach mamamamaaaa hapa ndo hatar..enzi hzo sio kidimbwi hii mnaenda skuhiz, silversands
6. Mbalamwezi
7. Katalunya
8. Etc etc etc

Nyie yale maisha si mchezo.

Sjawai kosa sup miaka yote mi4

Cant complain, maisha ndo haya haya ndugu zangu.

Sasa hiv nabeba box huku maisha yanasonga.
 
Ndio ndio
 
Dah noma sana
upo Pande zipi sasa, Malkia, Nordic, Hilter au Red India.

Hapo kwenye Box umenikumbusha mbali.

Naelewa kwa nini umepata hisia za kumbukumbu za Bibo na Hall 5.

Ukibeba Box hasa la industrial au care, night shift kipindi cha winter unaweza ukakumbuka hadi life la Namtumbo kwa bibi huku ukijiuliza nimekosa nini Bongo.

Pambana mwana usikate tamaa hadi kieleweke. Mungu atakusaidia utatoboa.

Ila uwe na mipango usije ukabeba Box hadi unaenda kwa sioni.
 
Endelea kupambana mkuu

Life la chuo mnalikuza Ila ni lawakawida

Kuhusu Kuchart na X wako hiyo kawaida Sana mwanamke ukifanya naye ngono ukaingiza sperm zile sperm zinatengeneza bond ya miaka 10 plus

Hivyo mwanamke kumsahau X wake is impossible.


All the Best
 
Hila umezingua kusema mahall marefu udsm ni 4 &5! Hall refu ni 2&5. Naanza kuona mashakaka na uzi wako
 
Kwakweli niliinjoy life udsm. Viwanja vyetu enzi hizo ni Silent Inn (mwenge), mambo (oystabay), fm (kinondoni), billcanas (posta), whitesand/silversand, kilimanjaro hotel! Enzi hizo mimi nilikuwa ni shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…