Boid
Member
- Jun 23, 2016
- 40
- 62
Kuna kesi nyingi maarufu ambazo pamoja na kuwa na majina unique uwa zinatia hamasa na burudani sana katika kuzisoma Mfano kuna kesi kama Dpp vs Shaw, cabolic smoke ball, Suzan Kakubukubu vs Mwanza municipal counsil, Kukutia Ole Pumbuni vs Kijiji cha Ujamaa Mutala.
Wewe zipi zilikuvutia zaidi? Matusi hayaruhusiwi
Wewe zipi zilikuvutia zaidi? Matusi hayaruhusiwi